

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana Sir Tenga huyu Malinzi alikuwa anatutia kiwewe kwa kampeni zake. Mungu ibariki bongo. Huko mbeleni tutakufanyia vitu uwe waziri wa michezo.
ReplyDeleteNilisema hawa wajumbe wa TFF siyo wa kuwaamini kabisa. Malinzi amepata kura nyingi sana ukilinganisha na utendaji wa Sir Tenga. Ilibidi apante kura moja kama Mwanakatwe. Ndolanga angeweka jina lake humo pengine angeshinda. Hongera Sir Tenga.
ReplyDeleteHongereni sana, ni jambo zuri na furaha kuona uchaguzi umekamilika kwa amani na walioshinda na kushindwa ni vizuri wakashirikiana kwa pamoja katika kufanya yale yaliyobora kwa wapenda soka wa Tanzania.
ReplyDeleteHongera sana Tenga na wenzako. Pia Hongera sana Michuzi kwa kuwa mstari wa mbele kutupatia habari kila zinapolipuka.
Wadau, hii habari mbona sijaiona CNN?
ReplyDeletemdau, zero
Malinzi umefanya kosa sana, ungegombea Umakamu ungesaidia sana, hakukuwa na sababu ya kumtoa Tenga. Sasa angalia hao waliochukua nafasi za Umakamu, mimi sidhani hata kama wanaweza kuzungumza Kiingereza wakienda FIFA. Hii inatia hasira sana.
ReplyDeleteStori hii haihusiani na picha!
ReplyDeleteKwenye mkutano wa kuuaga Iraq na waandishi wa habari, mwanahabari mmoja alivua viatu vyake na kuvivurumisha kwa Rais Bush kwa minajili ya kumpiga. lakini Rai Bush kavikwepa vyote viwili!
Naomba kuuliza tenga ni yupi na malinzi ni yupi?
ReplyDeleteHongera Tenga kwa ushindi bila ufisadi, kura za mafisadi zimeleta ushindani kiasi lakini siku zote mtoto hulala na nepi tu siyo pesa.
ReplyDeleteMungu ibariki Bongo yetu.
HONGERA TENGA, ziba makorongo kwa ajili ya awamu hii mpya.
ReplyDeleteHongera Bwana Tenga ila kazi kubwa uliyonayo ni kuhakikisha mpira wa Tanzania unaingizia nchi hela. Kivipi? Tuna uwanja mzuri sana wa mpira now that 2010 worldcup itakuwa South Africa many European teams cant cope with the weather in Africa and would need a ground to pre exercise before the finals. Safiri nje ya nchi wauzie wazo la wao kukodi uwanja wetu mpya for dollars na hizi dollars ziwe accounted for jamani.
ReplyDeletePili, TFF ina hela financini matangazo na vipindi kupitia TAMWA, TWAWEZA and the like vitakavyoleta mabadiliko nchini.
Tatu,nipeni nafasi mimi mwanamke nisikike. mtoe ideas za wanawake pia kuwa members hapo au Tanzania haina timu ya wanawake wanaocheza mpira? nitafurahia kupata fidibaki kupitia hii email:mikasayambongo@yahoo.com
Hongera Bwana Tenga.Kuna points alikuwa anaziongea Bwana Malinzi wakati wa kampeni zake,baadhi ni logical.Si vibaya ukazifanyia kazi,ndani ya siku zimempatia kura 38+1 ya kwake!!!
ReplyDeleteHongera Saaaaaaaana Kaka Tenga...
ReplyDeleteKaka wa Kichagga aliyekulia hapo mjini moro kasoro bahari...
Jamani natafuta namba ya Jamal Malinzi mimi ni shemeji yake nipo US.Naomba mwenye mawasiliano naye anisaidie.Thanx
ReplyDeleteunayetaka number ya jamal malinzi piga simu kwa wandishi wa michezo gazeti lolote watakupa au website ya TFF chukua namba ya mwakalebela.www.freemedia.co.tz utaona majina ya waandishi wa michezo kama dina Ismail au Makubuli Ali.
ReplyDeletehongera Nyamlani na Nassib.jamani ila TENGA hatupi hesabu za mapato na matumizi ya TFF tuwe macho kwani mwenzetu ni mtu wa kilimanjaro tuwe makini kwenye pesa za timu ya taifa na mapato ya uwanja.