Mheshimiwa Balozi na Mkuu wa Wilaya,
hongera na shukrani tele kwa kazi unayofanya ya kutuunganisha na kutuletea taarifa mbali mbali. Mungu aendelee kukubariki.
na
kwa ajili ya kuelimishana kuhusu masuala mbali mbali ya jamii, hasa utamaduni.
Mdau Mwl. Joseph Mbele
HAWA WALIMU JOHN NA JOSEPH MBELE NI NDUGU? AU NI MAJINA YA KOO ZAO YAMETOKEA KUFANANA?
ReplyDeleteMdau, mwalimu mhusika ni mimi, Joseph Mbele. Hili jina jingine limetokea kwa bahati mbaya.
ReplyDelete