mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya tff henry tandau akitangaza rasmi kuanza kwa uchaguzi mkuu hivi sasa katika jengo la nssf waterfront jijini dar
sir leodegar chilla tenga akitangaza rasmi kujiuzulu yeye kama rais wa tff na kamati yake ya utendaji ili kupisha uchaguzi mkuu kupata uongozi mpya leo
wajumbe wa mkutano mkuu wa tff kikaoni muda huu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. TUNAWAOMBA WENYE KURA WAZITUMIE KURA ZAO VIZURI KWA MAENDELEO YA SOKA LATU,HAKUNA UBISHI UONGOZI ULIOMALIZA MUDA UMEFANYA MENGI MAZURI,KILA LA KHERI TENGA ENGI TUNAKUFAGILIA FATHER.

    ReplyDelete
  2. mkuu wa wilaya huyu bwana tenga kapata wapi hiyo title Sir?

    ReplyDelete
  3. eeeeh jaman miss wolrd ametokea nchi gani, mbona hatutaarifiani wengine tupo nanjilinji huku kazi kweli kweli tupashane basi jaman eeeeh misupu sisi sote ni ndugu.

    ReplyDelete
  4. Mrusi ndo Miss World 2008

    ReplyDelete
  5. Huyo anayeuliza kuwa Tenga amepata wapi hiyo title sir labda tumuulize ni nani ambaye anaitoa. Najua UK wanataratibu zao. US anybody can be sir or madam. Bongo ni kama US. Mimi kila kwenye post zangu natumia Sir leodegar chilla tenga kwa kutambua mchango wake kwenye maendeleo ya soka. Toka jana namuita Sir Tenga na vyombo vyote vya habari vinatakiwa vianze kumuita hivyo. Sir Tenga...

    ReplyDelete
  6. Россиянка Ксения Сухинова стала "Мисс Мира-2008"
    Mkuu wa wilaya ya naniiiii. hiyo ndiyo heading iliyoko kwenye world news(Russian beauty 21 years old Ksenya Suhanova become miss world 2008 )kawashinda wenzake kwa mbali sana ingawa ilipata challenges mwanzoni kutoka kwa Miss India, South Africa, Trinodo and Tob. ,and Angola ..Dada yetu wala hakusisika kama kawaida yetu tumeishia kuwa washiriki tu..
    Ongera baby wa kirusi
    Mdau wa kamachumu..

    ReplyDelete
  7. KUNA SIR MBILI ILE YA KUPEWA NA QUEEN NA INGINE KAMA HESHIMA TU AU ADDRESSING A MALE PERSON, HATA HAPA ULAYA/UNITED KINGDOM MTU ANAWEZA AKAKU-ADDRESS SIR ANAPOTAKA KUONGEA NA WEWE, HAMNA MAHALI POPOTE PAMEKATAZA MTU KUUITWA SIR, MARA NYINGI UNAWEZA KUTEMBEA MTAANI MTU AKATAKA KUJUWA KITU FULANI AKAKUSHIMAMISHA AKAANZA NA SIR CAN I ASK YOU SOMETHING? IT IS AN ADDRESS OF RESPECT.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...