
hivi sasa wajumbe ndio wanahojiwa ili wapigiwe kura. kura za rais, makamu wa kwanza na wa pili wa rais tayari zimeshapigwa. tunategemea kupata matokeo kabla ya saa kumi ili kuwahi kuwapokea taifa stars wanaotua leo saa kumi na moja eapoti hapa dar.
redio mbao zinasema nanihii ameshinda kwa kura nyingi, mpinzani wake akiwa kaambulia robo tu. nanihii wa tmk redio hizo zinasema kalamba umakamu wa kwanza na ninihii kawa makamu wa pili.
MICHU TUPO TUNAKUFATILIA KWA KARIBU SANA WADAU WA KISIJU TUNAAMINI KABISA HIYO NANI HII WA TMK NI ATHUMANI NYAMLANI NA KAMA NI KWELI TUTAFURAHI SANA WANA KISIJU
ReplyDeleteWAKO MDAU
KISIJU PWANI
MICHUZI HAWA JAMAA WANGEZALIWA ULAYA. WANGEKUA MATAJIRI SASA HIVI LAKINI TUWAPENI TUU HESHIMA ZAO. NASIKIA WENGINE MPIRA WALIANZA KUCHEZA PEKUPEKU
ReplyDeletemdau wa pili kama unasikia 2 kuwa wengine walicheza bila via2 basi utakuwa hukugusa kabisa mpira utotoni.hiyo ilikuwa ndio hali halisi ya soka ya shule ya msingi na mitaani.but is the same with the rest of poor countries(including Brazil).
ReplyDeleteToka kushoto Juma Mkambi,Madata Lubigisa,chochi lemba,juma muhina,madata lubigisa,iddi pazzi,jela mtagwa na sure boy/abou bakari salumu.
ReplyDeleteHao ndio nimeweza kuwatambua.
Kweli Bongo tambarare.....
ReplyDeleteDu.. Mie siwezi kuamini kwamba hao watu ndiyo waliokuwa icon in Tanzania society in early 90's hao watu walikuwa mfano katika jamii nimeanza kucheza mpira nikiwa na lengo la kuwa kama Juma Mhina ,Madata,Khalifan Ngasa, Magongo,E.Hiza, Khalid Bitebo, na wengine wengi walioipandisha daraja Pamba FC... wakati huo ikaanzishwa timu ya uwanja C.C.M kirumba tunatoka Lake Secondary kwenye self- relience tunaelekea kirumba kupata zoezi , pamba wanacheza uwanja mkubwa sie tunacheza uwanja mdogo... kweli palikuwa patamu sasa leo hii nikiangalia watu waliokuwa icon wako katika hali kama hiyo siyo utani machozi yanatiririka kwa ndani ...nashukuru mungu na wazazi wangu walionipa mwelekeo wa elimu ninge endelea na mpira na mie ninge kuwa hivyo hivyo...
but anyway yote maisha na mungu ndiye anayepanga sie binadamu tunafuatiria...
Mdau wa kamachumu..
Hao ndio wangetakiwa kuwa wagombea wa uwenyekiti, makamu na wajumbe kwa vile walicheza mpira na wanaujuzi wa hiyo industry hao wangine waliogombea kweli wanaback ground yeyote katika mchezo huo?
ReplyDeletekama ipo naona Michuzi hukutuwekea CV zao tukaziona
Very happy to see these guys, are legends, I remember I was at primary and secondary school those times when they were fantastic playing good football, mmmm bado wako fit, hali zao si mbaya sana. Even in Europe very few who are rich most of them are alcoholic and just as poor as Tanzanians footballers are, and most are living in unhappy lives.
ReplyDeleteNdugu wa United Kingdom, kama langueji haipandi andika kiswanglishi maana kingereza zilo .... Bola hata mie wa hapa hapa Undongini.
ReplyDeletewewe Mdau wa kamachumu akili yako haina akili na kama kawaida yenu ya kujisifu weka picha yako hapo tuone. Machozi yanakutoka ya nini? Kuna watu wenye maisha magumu lakini hao jamaa angalau naowajua mimi wakina Homa ya Jiji na Sure Boy maisha yao yako tambarare siyo omba omba na hawajisifu kama wewe. Huwezi kujua hali ya mtu kwa kuangalia picha, je ukimuona maradona sasa hivi utasemaje?
ReplyDeleteMDAU WA UNITED KINGDOM, KIINGILISHI CHAKE SAFI KWA ASILIMIA MIA MOJA HAMNA HATA KASORO MOJA, PENGINE WEWE WA KITONGOJINI UNATAKA ANDIKE KIINGILISHI CHA KITONGOJINI, EBU TOA KASORO YOYOTE ILE KAMA IPO SI YA MSINGI, ACHA ZA KULETA, MBONA WEWE HUJAANDIKA CHA KITONGOJINI CHAKO/ STOP HATING PEOPLE, THERE ISN'T A SINGLE MISTAKE AS I CAN SEE IT. IF YOU DON'T TRY YOU WILL NEVER KNOW, BE AGGRESIVE, THAT IS WHY PEOPLE SAY WE DON'T KNOW ENGLISH SIMPLY BECAUSE WE DON'T WANT TO PRACTICE IT, WE FEEL SHY. YOU DON'T TRY YOU WILL NEVER UTTERLY NOT GONNA KNOW IT.
ReplyDeleteWewe unayesema hiyo English ya jamaa si safi ni muongo kabisa mimi sioni kosa hapo kama lipo si kubwa kiasi hicho cha kumkosowa, afadhali yeye amejaribu, wewe hata kiswahili chenyewe shida ZERO unaandika ZILO, language, unaandka langueji, acha hizo, jaribu na wewe si vibaya, mwenzio kajaribu sana, tena kaandika kila cha wenyewe wanavyozunguza si cha kufundushwa darasani.
ReplyDeleteAnon wa 10:25 umenena. Tuwashukuru sana wazazi kwa kututilia ngumu kwenye vipaji vyetu vya michezo maanake fainali uzeeni tungekuwa sasa katika hali kama hii. lakini elimu imetuwezesha kufika anga kubwa na still ukitaka michezo huku Ulaya vilabu vyetu sijui FC nini ziko kibao tu unaweza kucheza wakati wowote. Fainali ni uzeeni.
ReplyDeleteMzee wa United Kingdom, Kingereza hicho jamani..... sasa kama hupo England at least we could rely on you...kuwa tungejifunza toka kwako, but then I see a lot of mistakes.... tuongee lugha yetu.
ReplyDeleteJamal
Belgium
mdau wa Uingereza hajakosea kitu chochote,English yako iko pouuwwwaaa.tatizo nyie wa huko kwa mavumbi mnataka aandike grammar english kama mnayofundishwa huko vitongojini.POLENI SANA,TEMBEA UYAONE JARIBU HATA KUVUKA MPAKA KIDOGO HAPO NEROBIII TUUU.
ReplyDeleteUNITED KINGDOM hajaandika mchango wake ili usahihishwe apatiwe marks, Ameandika kwa ajili ya kuwakilisa mchango wake, hata hivyo mimi sioni kama mtu atashindwa kumuelewa, hata mzungu wa kijijini ambaya hajasoma (wapo wazungu hawajasoma) hawezi kutowa kosa hapo hata moja na ataelewa, na mara nyingi ukisoma magazeti ya udahu ya huku Ulaya yana Engilsh sio kama tunayofundishwa huko nyumbani darasani, hataEnglish inayozungumzwa mtaani ni ya kisasa/kileo si hiyo ya vitabu ambayo naweza kusema ya kizamani kama vile KISWAHILI cha darasani na mtaani ni tofauti kabisa, na ndivyo ilivyo Englishs as well, na huo ndio uandishi wao. Pia UNITED KINGDOM si dhani inawakilisha aliko mtu pengine ni jina lake, kwani nimesoma na watu wengi tu wanaitwa KINGDOM, sasa msiruke tu na kuhisi huyu mtu yuko UK. Kwa tafsiri ya haraka haraka tu ya mchango wake ni kama ifuatavyo.
ReplyDelete"YUKO NA FURAHA KUWAONA HAWA WATU, NI VINARA, ANAKUMBUKA ALIKUWA SHULE YA MSINGI NA SEKONDARI NYAKATI HIZO, HAWA MABWANA WAKISAKATI NDINGA LA HALI YA JUU NA SAFI, HALI ZAO SI MBAYA SANA, HATA ULAYA NI WACHEZAJI WACHACHE SANA WALIO MATAJIRI, WENGI WAO NI WAMEADHIRIKA NA POMBE, NI MASIKINI KAMA WALIVYO WA TANZANIA, NA WENGI WAO WANAISHI MAISHA YASIYO NA FURAHA."