mdau afafanua kuhusu nyota na mwezi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Sasa ufafanuzi uko wapi - au ni mimi tu?

    ReplyDelete
  2. Hongera kwa picha lakini mimi bado naona giza na maanisha sijaelewa kabisaaaaa
    Fafanua inatokea hivyo katika miezi ipi na kwa nini?

    ReplyDelete
  3. Jamani natamani sana kuelewa kuhusu hii matter ila kwa huu mchoro naona mdau haujanieleza lolote, naomba maelezo tafadhali

    ReplyDelete
  4. hata mie kwa kweli sijaelewa labda mngetufafanulie

    ReplyDelete
  5. Wadau wawili wa kwanza juu...mkiikuza hii picha na mkasoma maelezo mtaelewa vizuri tu, mimi ni layman kama ninyi, but nimeelewa sana tu. Hizi sayari na mwezi vipo mbali sana na sisi na tunaviangalia tukitokea chini, maybe between 45 and 60 degrees centigrade,ndio maana tunaviona vipo ktk mstari mmoja. Vingekuwa karibu kama mita mia na vingekuwa vimekaa at 180 degrees centigrade ya usawa wa macho yetu, tusingeviona kama vipo ktk mstari mmoja.

    ReplyDelete
  6. Anony at December 03, 2008 5:27 PM, what weed u been smokin'? what the hell are you talking about? degrees CENTIGRADE? what?

    ReplyDelete
  7. Bado... kwa kuwa ilikuwa usiku kwa hiyo Dar ilikuwa upande wa pili wa jua. Utaionaje Venus. Kitu kingine kwa kuwa mwezi unaonekana kupata mwanga wote wa jua tungeona Full Moon. Jaribu tena.

    ReplyDelete
  8. nadhani huyu bwana kajitahidi tuelewesha, labda kinachotakiwa hapo ni kulinganisha michoro yote mitatu na kupata picha harisi.

    ReplyDelete
  9. Kwa mdau wa 5:57pm (au mdau wa 45 na 60 degrees centrigrade) ni kwamba pamoja na kuikuza picha sikuona ufafanuzi. Zaidi sielewi centigrade zinaingia vipi hapa!

    ReplyDelete
  10. Samahani wadau na poleni kwa kuhangaika. Mambo yote na zaidi unawez kuyapata kwenye link hii ambayo yako wazi sana na ya kisayansi http://www.astronomy2009.ac.tz/main.html

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...