
Mdosi na Luke Music Factory wakishirikiana na Dj Joe (Cat Daddy) wa W.K.Y.S. 93.9 Fm wanakukaribisha kwenye EAST AFRICA NEW YER'S PARTY,itakayo fanyika mjini Silver Spring,kwenye Club ya
THE GALLERY OF SILVER SPRING,
1115 East West Hwy,
Silver Spring
Md 20910.
Hii ni party ya kwanza ya East Africa na Kwa mara ya kwanza kwa madj magwiji Afrika mashariki wa Washington Metro Area(kapitali) watakao kupa burudani bila kuchoka,muziki mpaka majogoo karibu utikise kichwa,urushe mikono na kujiachia achia,ili mradi si fujo wala patashika bali ni jazba la burudani la kuukaribisha mwaka mpya litakalo kufanya mchangamfu usiku kucha.
karibuni
The Gallery.


sasa dj luke yuko safari au gallery tuambie mahali pa kila siku mara safari mara huston mara atlnta mzee unatakiwa upuzike angalia na afya yako
ReplyDelete