IFUATAYO NI ORODHA YA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA TFF WALIOCHAGULIWA LEO.
1. WALLACE KARIA
2. AMIR ROSHAN
3. SAMWEL NYALLA
4. KHALIFA MGONJA
5. AHMED MSAFIRI MGOYI
6. TEOFRID SIKAZWE
7. ELIUD MVELA
8. SHAIBU NAMPUNDE
9. HUSSEIN MWAMBA
10. ATHUMANI KAMBI
11. KHALID MOHAMED
12. MUHSIN BALHABOU
KINACHOSUBIRIWA NI WASHINDI WA NAFASI YA URAIS NA MAKAMU WAKE WAWILI.
1. LEODEGAR TENDA VS JAMAL MALINZI - URAIS
. LAWRENCE MWALUSAKO, ALI HASSAN MWANAKATWE NA JUMANNE NYAMLANI - MAKAMU WA KWANZA WA RAIS
3. DAMAS NDUMBALO, NASIBU RAMADHANI - MAKAMU WA PILI WA RAIS
STAY TUNED!
TUPO PAMOJA MKUU TUNAMFATILIA MWANETU ATHUMAN JUMANNE NYAMLANI
ReplyDeleteMUNGU AMJALIE ASHINDE
MDAU
KISIJU PWANI
Nashukuru mungu wachafuaji wa hali ya hela Rage na Wambura hawamo.
ReplyDeletekaka vipi mbona JACK PEMBA simwoni alikuwa anagombea umwenyekiti aliniambia, ama ametolewa mapema!
ReplyDelete