



Mambo ya mduara yalikuwepo ambapo wachina nao hawakuwa nyuma katika kulisakata kachiri
Hizi ni picha za matukio ya maonesho ya tamaduni yaliyofanyika mnamo tarehe 30/11/2008 hapa Wuhan china(Mji wenye wanafunzi wengi wa kitanzania kwa China),na sisi kama watanzania tulishiriki kikamilifu.
kusema kweli ilikuwa baaab kubwa,zifuatazo ni baadhi ya picha na maelezo yake.nimeziweka kwenye number ili ziwe rahisi wewe kuelewa,pia nimeziresize kwa ajili ya kuziweka kwenye web.
Hakuna lolote hapo, ila wanashangaa hoa wamatumbi wanavyokata viuno .. kwenye banda hakuna lolote la kushangaa zaidi ya hizo T-shirt ambazo China huuzwa kwa kilo......
ReplyDeleteMsirudi bongo na bidhaa feki...
ReplyDeletesaaaaaaaaaaaaaaaafi sana wa-Tz wa china mejitaidi sana kuwakilisha,,,nyie maannon apo juu mna roho km za kunguni nyamafu stress zinawasumbua
ReplyDeleteNaomba kuuliza mnaosoma China mnatakiwa kujifunza kichina kwanza kabla hujaanza masomo au wanafundisha masomo yao kidhungu?
ReplyDeleteNinamaproffessor wengi tu nilikua nawajua fresh imported from China walikua mavitu wanayajua kichwani kwao kishenzi lakini english ilikua haipandi kabisa. Nikajua hata elimu yao huko ni kwa kichina china tu..... sasa najiuliza hawa wanafunzi wanajifunza kwa lugha gani darasani?
Huyu jamaa aliyepost commet ya kwanza inaonesha anasumbuliwa na utapiaubongo,
ReplyDeleteKimsingi kila kitu kinaweza kupatikana kokote,mbona hata hizo mbuga huku wametengeneza za kufoji,so sisi tulikuwa tunawasilisha nini tunacho,na ilikuwa ni baab kubwa kweli ila hakuna haja ya kukuconvice wewe ukubali.
tatizo wabobgo ambao mimi nawaita second hand huwa wanaongea sana na watu kama hawa ndio wanaofanya sisi watu weusi tuonekane useless.
Kuhusu kusoma,kuna vyuo vinafundisha kwa ngeli na kuna vingine vinafundisha kichina so uamuzi ni juu yako unataka kusoma kivipi,so kwa vle vyuo vya kingereza huwa tayari wamejiandaa na maprof ambao wnajua mambo na lugha inapanda ingawa individual effort ndio kubwa mno.
Kuhusu bidhaa feki ni kweli china kuna bidhaa feki ila sio kila kitu ni feki,kila nchi ilipitia stage hii so tuwe reasonable muda mwingine na tusiwe tunafuata tuu upepo wa western.Wafanyabiashara na TBS inatakiwa kuwa imara na kuwa na watu wanayoyajua mambo ili tuweze kutoka na kusuia hiyo mifeki
anon wa dec 03,5:01 usipoteze muda wako kumjibu huyo kauzu,fala wa kwanza, nyie tuwakilisheni watanzania wote kwa ujumla and we very proud of you guys.watu kama huyo kauzu wa kwanza ndiyo wana fanya wakenya watucheke kwamba tumezubaa,you all keep a good work.
ReplyDeletenimefurahi kuona zanzibar nao wamekumbukwa.
ReplyDelete