The first night of World AIDS week was acknowledged in Zanzibar with a fashion show of over 35 costumes by Tanzania designer AllyRehmtullah

Siku ya kwanza ya Siku ya ukimwi duniani iliadhimishwa kwa bonge la fasheni shoo la 'VUNJA UKIMYA' huko zenji ambapo mbunifu ally rhemtullah alionesha zaidi ya mavazi 35 ya aina mbalimbali. picha na peter bennet wa sauti za busara.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. WELEVU NIELEWESHENI MIMI MBUMBUMBU NI UJUMBE GANI HAYO MAVAZI YALIBEBA UNAOUHUSIANA NA KUVUNJA UKIMYA, AIDS?

    ReplyDelete
  2. Mie naona Fashion Show zinachochea AIDS so hapo ni sawa na kuchochea moto tu. Bongo tumezidi na mambo ya ulimwebwende. Ni bora wangechukua hao walimbwende wakatoe sex education mashuleni.

    ReplyDelete
  3. WEE ANON HAPO JUU WALIMBWENDE HAWAHUSIANI KABISA NA SOMO LA SEX. KAMA UNATAKA SEX IFUNDISHWE SHULENI SAWA LAKIMI LAZIMA WAANDALIWE WATAALAM WA SEX. NA KUZUIA UKIMWAI NI PART TU YA SEX. AMBAYO NI SAFE SEX. MBONA UNAKURUPUKA BILA KUNAWA USO???????+

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...