Wadau wa kampuni ya Zantel jijini Mbeya waliitumia sikukuu ya Krisimasi kwenda kutembelea kituo cha kulelea watoto yatima, Wajane na Wazee wasiojiweza pale Forest Mpya. Pichani mdau Haidar Chamshama akimkabidhi mkuu wa Kituo Mchungaji Mwakasomola Zawadi kwa ajili ya kuwapa wajane na wazee wasiojiweza.

kuna kitu kimoja wadau naomba tukiweke sawa,na pia mdu mkuu mchango wako ni muhimu sana,hii wanayotoa zantel ni zawadi au matangazo ya biashara yao, inatofauti gani na t shirt zile walizopewa mabar med DSM miezi kadhaa iliyopita.nafikiri ni dhambi kujificha katika kivulicha msaada huku malengo yakiwa kutangaza biashara.
ReplyDeletemawazo yenu ni muhimu katika hili.
nami nilipoona picha hii, nilisonya na kuwaza mbona hizi kampuni za simu zinatupumbaza?
ReplyDeleteJamani si haba hawa jamaa wa Zantel leo wanaonekana japo kutoa hizo T.shirt. hawa jamaa wappo nyuma sana yn sana, wanakula tuu faida wenyewe. Zantel inabidi muige mifano ya wenzenu wanavyosaidia jamii. Unapokula na kipofu lazima upulize,mutafuna faida kutokana na watanzania kutumia mtandao wenu sasa inabidi musaidie jamii so wasione uchungu jmaani.
ReplyDeleteooh,hivi aliyewaambia kuwa nchi hii ni ya mabwege nani?
ReplyDeleteyaani Rangi ya C C M mwaipelekea kwenye kampeni Mbeya? tutasusia ma simu yenu nyie leteni u zenji hapa ooh