Wadau wa kampuni ya Zantel jijini Mbeya waliitumia sikukuu ya Krisimasi kwenda kutembelea kituo cha kulelea watoto yatima, Wajane na Wazee wasiojiweza pale Forest Mpya. Pichani mdau Haidar Chamshama akimkabidhi mkuu wa Kituo Mchungaji Mwakasomola Zawadi kwa ajili ya kuwapa wajane na wazee wasiojiweza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kuna kitu kimoja wadau naomba tukiweke sawa,na pia mdu mkuu mchango wako ni muhimu sana,hii wanayotoa zantel ni zawadi au matangazo ya biashara yao, inatofauti gani na t shirt zile walizopewa mabar med DSM miezi kadhaa iliyopita.nafikiri ni dhambi kujificha katika kivulicha msaada huku malengo yakiwa kutangaza biashara.
    mawazo yenu ni muhimu katika hili.

    ReplyDelete
  2. nami nilipoona picha hii, nilisonya na kuwaza mbona hizi kampuni za simu zinatupumbaza?

    ReplyDelete
  3. Jamani si haba hawa jamaa wa Zantel leo wanaonekana japo kutoa hizo T.shirt. hawa jamaa wappo nyuma sana yn sana, wanakula tuu faida wenyewe. Zantel inabidi muige mifano ya wenzenu wanavyosaidia jamii. Unapokula na kipofu lazima upulize,mutafuna faida kutokana na watanzania kutumia mtandao wenu sasa inabidi musaidie jamii so wasione uchungu jmaani.

    ReplyDelete
  4. ooh,hivi aliyewaambia kuwa nchi hii ni ya mabwege nani?
    yaani Rangi ya C C M mwaipelekea kwenye kampeni Mbeya? tutasusia ma simu yenu nyie leteni u zenji hapa ooh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...