Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Zain East Africa Bashar Arafeh (kulia) akipokea tuzo kutoka kwa mwenyekiti wa Nation Media Gropu Dk. Martin Aliker baada ya Zainkutangazwa kuwa kampuni ya Tatu inayoheshimika Afrika Mashariki katikautafiti unaofanywa kila mwaka Afrika Mashariki na Nation Media Group pamojana kampuni ya Price Waterhouse Coopers. Matokeo hayo yalitanganzwa nchiniUganda mwishoni mwa wiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...