Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania, wakiinua mishumaa wakati wa maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani jijini Dar
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Zain Tanzania, Georgia Mutagahywa (kushoto) akiwaonyesha wafanyakazi wa kampuni hiyo jinsi ya kutumia kondomu za kike, wakati wa maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani Dar

Mfanyakazi wa Zain Tanzania, Patrick Fulla (kushoto) akipata ushauri nasaha kabla ya kupimwa virusi vya UKIMWI wakati wa maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Kampuni hio kwa party duu inanifanya nijiulize hivi huduma yao nini hasa? ni simu au tafrija?...

    ReplyDelete
  2. Zain punguzeni matafrija, gharama mnazotumia kwa masherehe zitumieni kupunguza gharama kwa mteja, mmenichosha sasa hee!

    ReplyDelete
  3. """""zaina yaadhimisha siku ya ukimwi duniani"""""


    Zaina aadhimisha au Zain?.... kenge!

    ReplyDelete
  4. Kuadhimisha siku ya ukimwi duniani nayo ni tafrija?

    ReplyDelete
  5. wezi wakubwa hawa
    UKIMWI na zain adi apti ya nini??yan sie wa mahospitalini na kitengo cha ukimwi tunaadhimisha kwa upimaji hiari mitaani na elimu kwa wagonjwa,wao wanywa vilevi
    shenzi,,,wako wazima wenyewe???
    wezi tu unawasumbua
    si bora wangejutolea izo pesa wawawezeshe hospital fulani kugawa vijarida,semina nk

    ReplyDelete
  6. Picha ya kwanza dada kushoto umependeza sana, tunaomba jina.

    ReplyDelete
  7. Gloria umeharibika hivi? Siyo kama nilivyokukuta.

    ReplyDelete
  8. Nakubaliana na mdau kuwa Zian wamezidisha matamasha! Gharama za simu kwa kweli ziko juu sana hapa TZ. I wish wangepunguza hayo matamasha na kuboresha huduma kwa wateja pia kuchangia wagonjwa mahospitalini, yatima mitaani, wazee wasiojiweza na hata ikibidi kuanzisha kituo cha watu maskini chenye kuhakikisha wanapata angalau mlo mmoja kwa siku!

    ReplyDelete
  9. INGEKUWA JAMBO LA MAANA KAMA WANGETOA DAWA BURE KWA WAATHIRIKA KWANI NATUMAINI KUNA WATU HAWAWEZI KUZINUNUA,BADALA YA KUFANYA SHEREHE KUBWA AMBAYO HAINA MAANA.
    SIKUNYINGINE MNGEFANYA HIVO ILI ILETE MAANA YA HIYO SIKU YENYEWE AHSANTENI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...