


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kampuni hio kwa party duu inanifanya nijiulize hivi huduma yao nini hasa? ni simu au tafrija?...
ReplyDeleteZain punguzeni matafrija, gharama mnazotumia kwa masherehe zitumieni kupunguza gharama kwa mteja, mmenichosha sasa hee!
ReplyDelete"""""zaina yaadhimisha siku ya ukimwi duniani"""""
ReplyDeleteZaina aadhimisha au Zain?.... kenge!
Kuadhimisha siku ya ukimwi duniani nayo ni tafrija?
ReplyDeletewezi wakubwa hawa
ReplyDeleteUKIMWI na zain adi apti ya nini??yan sie wa mahospitalini na kitengo cha ukimwi tunaadhimisha kwa upimaji hiari mitaani na elimu kwa wagonjwa,wao wanywa vilevi
shenzi,,,wako wazima wenyewe???
wezi tu unawasumbua
si bora wangejutolea izo pesa wawawezeshe hospital fulani kugawa vijarida,semina nk
Picha ya kwanza dada kushoto umependeza sana, tunaomba jina.
ReplyDeleteGloria umeharibika hivi? Siyo kama nilivyokukuta.
ReplyDeleteNakubaliana na mdau kuwa Zian wamezidisha matamasha! Gharama za simu kwa kweli ziko juu sana hapa TZ. I wish wangepunguza hayo matamasha na kuboresha huduma kwa wateja pia kuchangia wagonjwa mahospitalini, yatima mitaani, wazee wasiojiweza na hata ikibidi kuanzisha kituo cha watu maskini chenye kuhakikisha wanapata angalau mlo mmoja kwa siku!
ReplyDeleteINGEKUWA JAMBO LA MAANA KAMA WANGETOA DAWA BURE KWA WAATHIRIKA KWANI NATUMAINI KUNA WATU HAWAWEZI KUZINUNUA,BADALA YA KUFANYA SHEREHE KUBWA AMBAYO HAINA MAANA.
ReplyDeleteSIKUNYINGINE MNGEFANYA HIVO ILI ILETE MAANA YA HIYO SIKU YENYEWE AHSANTENI!