Zimepatikana zile za enzi ile ya External Service of RTD, Kijaluba hoyeee, (na watangazaji mahiri Mikidadi Mahamoud, Uncle J Nyaisanga...) na matangazo ya Vicks Kingo na sijui Meza Action mara ukiumwa na misuli tumia Salimia Liniment... tangazo la Revola (Vipi Mama Mariam! mbona unalalamika hivi? Ah, nguo hizi, kila ninapokazana kuzifua, hazitakati sijui nitumie nini?)...., zile hadithi za Bi Deborah Mwenda za Ua Jekundu, Binti Chura, Mbalamwezi Nyota Begani nk..... kiasi zipo:
ama
Wikiendi njema!
Subi
Nashukuru sana mdau! Kweli Umetupeleka mbali! It is so clear hakuna mikwaruzo wala nini! Thanks a lot!
ReplyDeleteYaani wewe dada Subi hongera sana kwa kazi kubwa uliyoifanya leo. Maana nilikuwa nimeshananza kuhama kwenye redio zako. Lakini leo nimerudi kutokana na vitu ulivyoviweka. Hongera sana na endelea kutuwekea vitu vinavyopendeza kama hivi. "... Maumivu yakizidi muone daktari"
ReplyDeleteMdau
Cardiff
I love you... mwaaaa
ReplyDeleteJe na ile ..chuzi la mama mpiji limenichafulia kweli nguo yangu...
ReplyDeleteBalozi,
ReplyDeleteNingependa watanzania waishio ngambo watembelee webusaiti ya http://www.dullonet.com kupata taarifa za habari kila baada ya saa moja toka radio mabalimbali za Tanzania kama Radio Uhuru, Radio Free afrika n.k
Mdau
Alaska USA.