Zimepatikana zile za enzi ile ya External Service of RTD, Kijaluba hoyeee, (na watangazaji mahiri Mikidadi Mahamoud, Uncle J Nyaisanga...) na matangazo ya Vicks Kingo na sijui Meza Action mara ukiumwa na misuli tumia Salimia Liniment... tangazo la Revola (Vipi Mama Mariam! mbona unalalamika hivi? Ah, nguo hizi, kila ninapokazana kuzifua, hazitakati sijui nitumie nini?)...., zile hadithi za Bi Deborah Mwenda za Ua Jekundu, Binti Chura, Mbalamwezi Nyota Begani nk..... kiasi zipo:
ama
Wikiendi njema!
Subi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nashukuru sana mdau! Kweli Umetupeleka mbali! It is so clear hakuna mikwaruzo wala nini! Thanks a lot!

    ReplyDelete
  2. Yaani wewe dada Subi hongera sana kwa kazi kubwa uliyoifanya leo. Maana nilikuwa nimeshananza kuhama kwenye redio zako. Lakini leo nimerudi kutokana na vitu ulivyoviweka. Hongera sana na endelea kutuwekea vitu vinavyopendeza kama hivi. "... Maumivu yakizidi muone daktari"

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  3. I love you... mwaaaa

    ReplyDelete
  4. Je na ile ..chuzi la mama mpiji limenichafulia kweli nguo yangu...

    ReplyDelete
  5. Balozi,
    Ningependa watanzania waishio ngambo watembelee webusaiti ya http://www.dullonet.com kupata taarifa za habari kila baada ya saa moja toka radio mabalimbali za Tanzania kama Radio Uhuru, Radio Free afrika n.k
    Mdau
    Alaska USA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...