mambo ya ubungo plaza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Ukumbi umechoka sana siyo kama wa hapa kwetu Washington DC. Unakuta mijasho tu ndiyo inanuka hakuna kitu nilijionea mwenyewe nilivyo kuwa huko kwanye wedding yangu. mambo yote huku kwetu kwa Obama.

    ReplyDelete
  2. HII NI BONGO PEKE YAKE KWENGINE NI FEKI

    ReplyDelete
  3. Utamu wake ni nini wakati huko unyakyusani wanakula majani ya maboga mchana na jioni bila hata kanyama?

    MalisaBG

    ReplyDelete
  4. Ni picha nzuri Michuzi inabidi tuwe na kumbi nyingi kama hizi.Diamond imeshajichokea na Ubungo Plaza mwananchi wa kawaida kuhost party ni ndoto.
    Inanikumbusha harusi za dar hii picha..pia inanikumbusha University of Cape Town's Formal/Graduation parties..wanachuo wa UCT watanielewa zaidi.

    ReplyDelete
  5. Mkuu misupu unasema kutamu si kwa vile unakura vizuri unalala sehemu nzuri???Ndio maana unasema BONGO KUTAMU ila najuwa ungekuwa unafanya kazi ya kubeba magunia usingesema bongo kutamu au ungekuwa unaishi Tandale usingesema bongo kutamu ila wewe unakaa kwenye kiyoyonzi masaa 24 hahaha so fun bro.......ila ndio maisha yalivyo!!

    ReplyDelete
  6. Hakuna sababu ya kusifia ukumbi huo,hebu nia,mbie ni waTZ wangapi wanaouwezo wa kufanyia shughuli zao hapo?
    Shabban

    ReplyDelete
  7. Nadhani wanyakyusa ni katika wenye afya nzuri tanzania. Ardhi yao ina rutuba sana na mbeya kwa ujumla ukichukulia sehemu kama za rungwe mountains. Wana mvua za kutosha sijui kama umeshawahi onja kipunga cha Kyela. Ndizi zimejaa na samaki kutokea kwenye mito na pia ziwa nyasa.

    ReplyDelete
  8. Kutamu kwa wewe misupu na mafisadi wenzako!!

    ReplyDelete
  9. Kaka michuzi. naomba uandike details za aliyepamba sherehe hii. Ninategemea kufanya harusi, na nimeshafanya booking kwenye huu ukumbi. Natanguliza shukrani.

    ReplyDelete
  10. weeeee michuzi @"&**/<,,zako sana
    kila mara twakwambia UWEKE CONTACTS ZA WAHUSIKA WALIOPAMBA HALL AU ISHUZ KM IZI ILI WATU TUWATAFUTE? alaaaa why huelewi??
    tuzungumze kikwele??
    weka contacts zao alaaaaaaaa
    unaboa sana smts

    ReplyDelete
  11. the 1st person hapo juu,jasho haiusiani na ukumbi..guest wako ndio wanaonuka...may b ungewapatia deodrant...try 2 wise umeshaoa sasa..
    sacha.london

    ReplyDelete
  12. Michu, waambie waweke bei zao pia za vyumba na pia kukodi hall kwa maharusi na shughuli nyingine. ziwe online mana watu kama sisi tupo mbali tungependa kufanya biashara nao ila ndo hivyo hatujui ni bei gani wanacharge. Washauri wawee wanaweka bei pia, mana nimegundua hotel nyingi sana home wana websites ila hawaweki bei, hizi ni zama za ukweli na uwazi. na pia ni good for marketing.

    ReplyDelete
  13. UKITOKA HAPO NJE MITA MBILI TU NI VUMBI TUPU NA MICHANGA KIBAO NA UNASHUHUDIA MASIKINI KIBAO WAKITEMBEA HATA BILA YA NDALA. NA GIZA KIBAO JUA KALI KAMA MBINGUNI UPANDE WA JIHANAMU WATU HAWAJUWI WATAKULA NINI NEXT SECOND SIYO KESHO.

    ReplyDelete
  14. UKUMBI BOMBA LAKINI CHAKULA CHAO HUWA NI BOMU SANA UKIENDA HARUSI PALE LAZIMA UKAKESHE CHOONI KWANI UNAKULA MAVYAKULA YALIYOWEKWA KWENYE FRIJI TAKRIBANI MIEZI 2. JIREKEBISHENI. BEI ZENU JUU FOR NOTHING.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...