Home
Unlabelled
obama party
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
inatosha sasa geeez!
ReplyDeleteI hope viongozi wetu wanaiga mfano wa Obama. He's smart and focused. But above all, he loves his family and very faithfull to his wife. Hakai kufikiria na kutamani wanawake wengine na watoto wadogo.
ReplyDeleteAfrican leaders should follow his example, ndo maana mwenzao amefika alipofika.(Just a point of view)
NIMEMWANDIKIA MUHESHIMIWA RAIS KAMA IKIWEZEKANA ANIPE MWALIKO NIENDE KUMUTEMBELEA NATEGEMEA AKIIPATA ATANIPA MAJIBU NIMEJITAHIDI KUMPA STORY YANGU TANGU ST. ANTONY MBAGALA,MUZUMBE UNIVERSITY, HADI NILIVYO KWENDA CANADA KWA MUDA FULANI, NA PIA NIMEMWELEZA NILIKUWA NA AKILI NYINGI SANA NADHANI ATAPENDEZWA NA CHANGA MOTO YANGU. WADAU WIVU SITAKI NAJUA WAOSHA VINYWA MTANIONEA GERE!
ReplyDeleteMichuzi nakupongeza kwa juhudi zako. Mwenyewe nipo marekani lakini taharifa nyingi hata zinazohusu marekani nazipata kupitia mtandao wako. Katika hizi picha za Obama naomba tuongezee nyingi sana maana huyu jamaa anatulinda sana hasa sisi watu weusi wa kutoka africa. Nimetembelea mtandaO wa hawa jamaa wa ccm nchini marekani www.ccmmarekani.blogspot.com nikakuta wameweka picha nyingi kuhusu hili tukio la Obama. Naomba basi tundika picha nyingi hili watu washuudie jinsi mambo yalivyokuwa.
ReplyDeleteAsante sana bro.....Michu kwa kazi nzuri unayoifanya
Mdau
Houston--U S A
Jamani OBAMA ndo sababu ya kuwana party????? Haya kila mtu afanya party ya Obama kazi kwelikweli
ReplyDeleteYaani naungana na anon wa pili hapo juu kabisa, yaani sio african leaders tu, african men should follow his example. yaani unakuta wanaume wetu wa kiafrika wana wake wazuri tu kupita kama malaika, tena wanatimiziwa kila kitu ikiwemo mpaka huko kubebwa kupelekwa bafuni kuoga kama wanavyodai, lakini utakuta lazima wawe na nyumba ndogo tu utadhani wamelogwa. tena mbaya ni kutokuwa na mapenzi kabisa kwa wake zao, mbaya zaidi hata nyumba kubwa zikiamua kujimuvuzisha na kuziachia nyumba ndogo ndio ziwe nyumba kubwa, bado wanaume haohao wataziacha ndani na kwenda kutafuta nyumba ndogo nje utazani wanamelogwa kabisa
ReplyDeleteKweli Obama namfagilia maana mpaka hapo alipo hakuna skendo ya nyumba ndogo wala nini na jinsi anavyoithamini na kumpenda mke wake na familia yake kweli Mungu azidi kumjalia. Na nyie nyumba ndogo mkae mkijua siku mkiingia ndani ya nyumba bado hao wanaume watawaacha na kwenda nyumba ndogo. je mtakasirika???????????????????
wow sasa this is getting tooooooo much!
ReplyDeleteNalitolela unapenda dawa ya mswaki!
ReplyDeleteWewe unayelalamika its too much..hujalazimishwa kusoma ama kuchangia. You can go elsewhere, when things cool off you can come back. Kilichotokea jumanne iliyopita ni history na most of us are extremely blessed to be the witnesses.
ReplyDeleteHAKULALA SIKU HIYO KWANI ALIKUWA NA BALLS NYINGI. ALIKUWA NA PARTY YA WAFANYAKAZI WA WHITE HOUSE, YA FAMILIA, YA MAJIRANI, VIJANA, YA CHAMA CHAKE, ALIKUWA NA PARTY KAMA NANE HIVI NA ALIENDA ZOTE. MPAKA LYAMBA. JAMAA IS SO COOL.
ReplyDelete