
Ana umri wa miaka kumi tuu lakini mambo yake ni makubwa ana miezi sita tangu aanze kublog lakini utafurahia anachoandika na huwezi kuamini kama ni yeye ameandika.
Ungana na Pius wa Spoti na Starehe kumsoma mtoto huyu mwenye kipaji kwa kubofya hapa
http://spotistarehe.wordpress.com/2009
/01/09/kutana-na-gloson-blogger-mwenye-
miaka-10-mwenye-kipaji-kikubwa/
---------------------------------------------------------
Pius!
Hakika ni habari ya kusisimua na yenye kukufanya ujiulize endapo kama watoto wetu wa hapa bongo wanaweza kujitokeza na kuendeleza libeneke katika umri huo. Iko haja ya kuanza kuwahamasisha, na Gloson amenitia hamasa nianze kuhubiri mambo ya libeneke kwa wenye umri huo.
-michuzi
KAka huyu mtoto amenitia hamasa sana na jinsi anavyojieleza si mchezo mtoto mkali sana sana
ReplyDeleteInabidi hata watu wazima wajifunze kutaka kwake. Umeona rangi ya blog yake. Inakufanya upende kusoma tu blog yake. Rangi imetulia, haina makelele na blog inaoneka very matured kumbe ni ya mtoto wa miaka 10. Mpaka anafundisha watu jinsi ya kutoa comment kwenye blog....Jamani mmesikia....a] Be Useful, B]Be relevant to the topic and the post.
ReplyDeleteI like this kid
Aaaaah wapi Michuzi,watoto wa Tzeee wengi wao wakienda Net wanachojua kufanya unajua nini!?...ni kuangalia pornography,au mfano mzuri ni yule mtoto anayekunywa bia afu mamake anafurahi na kumsifia,hebu jiulize ni wangapi wanokunywa huko mitaani ambao hatuwajui?!sasa watoto kama wale hawafikirii kitu kingine zaidi ya pombe.
ReplyDeletehe's chinese or japanese.....it runs in their blood.
ReplyDeleteAlways smart....so smart even in class esp in Maths & physics & computer science. I salute these petite people.
Nyambaf kabisa sehemu kama hii ulitegemea kuona comment kibao hatucangii ingekuwa ujinga ujinga ungeona comments 20 mpaka 40.
ReplyDeleteTubadilike mtoto anakupeni hadi jinsi ya ku comment mnataka nini sasa?