bei ya mafuta jioni hii
mafundi wa kampuni ya mafuta ya oryx wakirekebisha muonekano wa bei jioni hii dar. hii ni habari njema kwa watumiaji wa vyombo vya moto ambao wamekuwa wakilipa bei ya juu zaidi ya kati ya shilingi 1,400 had 1,600 hata baada ya serikali kuamuru bei hiyo ishuke.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nanukuu "Agizo la Ewura linataka lita moja ya petroli iuzwe Sh1,166, diseli Sh1,271 na mafuta ya taa Sh 819" Mwisho wa kunukuu!! Je Tutafika ??

    ReplyDelete
  2. Serikali isingeingilia upangaji wa bei ya mafuta kwani ni kinyume cha mtazamo wa Soko huria (Free Market-Controlled by forces of Demand and supply). Kwa kubainisha, bei ya mafuta USA Ilianguka mpaka atleast $1.20 kwa galloni huko texas na hivi sasa inapanda kidogo kidogo kukiwa na ongezeko la karibu senti 6 kutoka katika rekodi hiyo ya chini. So kwa bahati mbaya ni kuwa, bei hii ambayo watanzania wanafikiri ni bora imeshuka itapanda hivi karibuni kwa kuwa suppliers wamepunguza kiwango cha mafuta wanayouza katika soko la mafuta hivi karibuni. (Follow the issue of Gasoline futures)

    Kt.

    ReplyDelete
  3. NASIKITIKA KWAMBA HUJAFANIKIWA KUFIKISHA UJUMBE KWANGU MIMI NINAYE ISHI BONGO KWANI SIELEWI UNAPOSEMA GALLONI UNAMAANISHA NINI

    ReplyDelete
  4. Lakini hiyo bado ni ghali sana. Hapo si kwa liter moja au nimekosea? Manake kama ni kwa gallon moja it is okay. lakini kwa liter moja bado ni ghali sanaaaaaaaaa

    Manake kama ukiangalia

    Liters per Gallon

    3.785411 liters per gallon (US).
    4.54609 liters per gallon (UK).


    Still kwa gallon moja ni aprox. 4000 tshs and up.... Bado ni nyingi sana tu. Watu wanaendeshaje jamani? Huku tuliko tunauziwa gas kwa gallon na hiyo hapo waliyopunguza ndio ilikua price ya summer time na watu jasho lilitutoka. Sasa hivi gal ni $1.47 hapa ninapoishi. Yaani liter moja ni kama $0.50

    ReplyDelete
  5. Jamani naomba hawa wenye company za mafuta waweke pump za kisasa kwani huna haja ya kufungua pump ili kurekebisha bei unarekebisha ukiwa ndani ya ofisi tu Tuendele kwani pesa mnatengeneza nyingi sana.Pia pump za kisasa zinaharakisha kujaza mafuta kuliko hizo za zamani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...