
Bendi ya Kilimanjaro Connection iliyoko ziarani nchini Malaysia imeongezewa mkataba na itakuwa hapa kwa miezi mingine mitatu.
Pichani mwanadada Queen Suzy (Wapenzi wa Ngwasuma wanamtambua) akiwajibika jukwaani huku mpiga gitaa la solo Maneno Uvuruge akimpagawisha, pamoja na mzee mzima Farijala Mbutu (mume wa Luiza Mbutu).
Kwa ujumla Kilimanjaro Connection wamekubalika, kwa habari zaidi tembelea www.spotistarehe.wordpress.com
Hii kweli Spoti na Starehe, sasa wanawezaje kucheza nusu uchi na hiyo nchi ya kislam jameno?
ReplyDelete