Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Ebwana hii KALI. Dogo unatisha!!! very creative, mult-talented kipanyaazzz!!! Kaka unakaba mpaka kivuli si mchezo MAISHA PLUS'ZZZZZZZZ Man you make it happen.

    ReplyDelete
  2. heheheheheh mbona tutaisha? Hiyo V.V.U ndio nini tena

    Bongo hiyo...... people don't do it but if you do always had the sense to stay safe, wrap it up....don't listen to nobody...it is ur life

    ReplyDelete
  3. Salute KP!!!Kweli ww hiko kipaji ndani ya damu maana kila siku unatuelimisha Cartoon zako ziko Juu kama Muashock tree baba kaz boot!!!!!Na kweli tutaisha maana VVU ndo Ukimwi baba wewe KP wa ukweli ukweli

    ReplyDelete
  4. Anony wa Tar 9 Jan. 9:40am. V.V.U ni kifupi cha Virusi Vya UKIMWI

    ReplyDelete
  5. Imetulia Masoud mafataki yako kibao hata sijui kwa nini hawaachi ma binti, huwa nikiwaona natamani kuwachapa bakora,siwapendi mafataki

    ReplyDelete
  6. ha ha ha ..... I just got it from GP. V.V.U. ni Vaa vizuri Upendeze.

    ReplyDelete
  7. anony wa 2.. vvu ni virusi vya ukimwi

    hii cartoon imetulia.asante sana

    ReplyDelete
  8. Cartoon hii imetulia kwa kweli. V.V.U inatafsiriwa tofauti na jamaa wanaopenda dogodogo. Haya mabinti kazi kwenu kama VVU ni tofauti na UKIMWI (HIV/AIDS) basi kazi ipo. Wa-Tz na wengine kusini mwa jangwa la Sahara hali yetu mbaya na inabidi kazi ya ziada ifanyike.
    Mdau

    ReplyDelete
  9. huyu kipanya nae ni mwizi wa kuiba katuni za watu hii katuni ilikuwa kule gp yeye kaifanye ya kwake awe creative tafadhali watu wasimfagilie bure ameichapa na tumeshaiona

    ReplyDelete
  10. Data za sasa kuwa watanzania 'tuishio' na VVU/UKIMWI ni 5.2% ni za kutilia shaka! Kwa takwimu za vyanzo tofauti ukweli ni kwamba hali ni MBAYA SANA.

    Jijini watu waishio na VVU/UKIMWI ni zaidi ya 13%. Kadhalika Iringa nako.

    Nachelea kukubali kwamba the average of the country ni 5.2% kwa sasa kutoka i.e as per 2008 data, kutoka 7.0% za '2007.'

    Hali ni mbaya sana wenzangu. Tujikinge na wale ambao hawajapima wapime. Kwa watakaogundulika kuwa navyo, tafadhali chukua hatua zaidi ili urefushe maisha. Usijifiche na usisambaze kwa makusudi.

    Niseme tu kwamba KONDOMU ZINASAIDIA. Mimi nilikuwa na-do na demu anayetumia ARV, kwa kipindi hicho sikujua kama ARV ni ... yeye akaniambia ni dawa za MOYO wake ni mkubwa. Nilipopata "uelewa" wa ARV ni nini, coz alikuwa anaagiza NAIROBI that time, nilitetemeka sana, hofu na hofu ya kifo vilitawala. Nilipima mara 2 TU nikajikuta salama, na from there... nikamuacha bila kumpa sababu, just friendly, na NAAMINI KONDOMU NI KINGA MADHUBUTI IKITUMIKA CONSISTENTLY AND ...!

    Ukiweza kuepuka kabisa, umelamba dume!

    ReplyDelete
  11. NB: Niongezee kuwa from there on nikajikuta nakuwa mwanaharakati bila kujijua. I'm now in the front line guys

    ReplyDelete
  12. Asanteni kwa kunielimisha. Kumbe VVU ni virus vya ukimwi. Kwa hiyo hata kwa kiswahili mtu haelewi maana yake au ni kuwa na akili ndogo tu?

    Inabidi elimu itembee sana kuhusu huu ugonjwa. Bado upo sana kila kona ya dunia though. Cousin wangu ni Dr kwenye inner city hospital na anasema ni wengi tu wanao pia sana sana miji mikubwa. Na cha kusikitisha ni kuwa wengi wapo kati ya miaka 18 na 26.

    ReplyDelete
  13. Dalili za UKIMWI ni mtu kudhoofu, kuumwa zaidi ya gonjwa moja kwa wakati mmoja, kukohoa kusiko kwisha bila ya kuwa na TB, mkanda wa jeshi, herpes, ukoko katika ulimi na sehemu nyeti n.k. Hivyo huyu mwenye Ukosefu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) ni rahisi kumdhania kwa kutumia macho kabla ya vipimo kusema kama ana VVU au tu ana matatizo ya ki-genetic ya kuzaliwa bila kinga.

    Mtu mwenye VVU ( Virusi vya Ukimwi) ni kama huyo ktk cartoon ya Kipanya. Anaonekana ni mtu wa kawaida, haonyeshi kuadhirika na gonjwa lolote, aweza kuwa mnene au mwembamba, ana ngozi iliyonawiri, haonyeshi dalili za uchovu. Yaani kwa ujumla mtu mwenye VVU kwa muda fulani na kwa watu wengine kwa muda mrefu anaonekana mtu wa afya njema. Mtu wa namna hii huwezi kumhisi kwa kumwangalia kwa macho au hata kwa kumkagua bali kwa kumfanyia vipimo vya maabara vya VVU.

    Hivyo unatakiwa uwe mwangalifu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...