Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ebwana hii KALI. Dogo unatisha!!! very creative, mult-talented kipanyaazzz!!! Kaka unakaba mpaka kivuli si mchezo MAISHA PLUS'ZZZZZZZZ Man you make it happen.
ReplyDeleteheheheheheh mbona tutaisha? Hiyo V.V.U ndio nini tena
ReplyDeleteBongo hiyo...... people don't do it but if you do always had the sense to stay safe, wrap it up....don't listen to nobody...it is ur life
Salute KP!!!Kweli ww hiko kipaji ndani ya damu maana kila siku unatuelimisha Cartoon zako ziko Juu kama Muashock tree baba kaz boot!!!!!Na kweli tutaisha maana VVU ndo Ukimwi baba wewe KP wa ukweli ukweli
ReplyDeleteAnony wa Tar 9 Jan. 9:40am. V.V.U ni kifupi cha Virusi Vya UKIMWI
ReplyDeleteImetulia Masoud mafataki yako kibao hata sijui kwa nini hawaachi ma binti, huwa nikiwaona natamani kuwachapa bakora,siwapendi mafataki
ReplyDeleteha ha ha ..... I just got it from GP. V.V.U. ni Vaa vizuri Upendeze.
ReplyDeleteanony wa 2.. vvu ni virusi vya ukimwi
ReplyDeletehii cartoon imetulia.asante sana
Cartoon hii imetulia kwa kweli. V.V.U inatafsiriwa tofauti na jamaa wanaopenda dogodogo. Haya mabinti kazi kwenu kama VVU ni tofauti na UKIMWI (HIV/AIDS) basi kazi ipo. Wa-Tz na wengine kusini mwa jangwa la Sahara hali yetu mbaya na inabidi kazi ya ziada ifanyike.
ReplyDeleteMdau
huyu kipanya nae ni mwizi wa kuiba katuni za watu hii katuni ilikuwa kule gp yeye kaifanye ya kwake awe creative tafadhali watu wasimfagilie bure ameichapa na tumeshaiona
ReplyDeleteData za sasa kuwa watanzania 'tuishio' na VVU/UKIMWI ni 5.2% ni za kutilia shaka! Kwa takwimu za vyanzo tofauti ukweli ni kwamba hali ni MBAYA SANA.
ReplyDeleteJijini watu waishio na VVU/UKIMWI ni zaidi ya 13%. Kadhalika Iringa nako.
Nachelea kukubali kwamba the average of the country ni 5.2% kwa sasa kutoka i.e as per 2008 data, kutoka 7.0% za '2007.'
Hali ni mbaya sana wenzangu. Tujikinge na wale ambao hawajapima wapime. Kwa watakaogundulika kuwa navyo, tafadhali chukua hatua zaidi ili urefushe maisha. Usijifiche na usisambaze kwa makusudi.
Niseme tu kwamba KONDOMU ZINASAIDIA. Mimi nilikuwa na-do na demu anayetumia ARV, kwa kipindi hicho sikujua kama ARV ni ... yeye akaniambia ni dawa za MOYO wake ni mkubwa. Nilipopata "uelewa" wa ARV ni nini, coz alikuwa anaagiza NAIROBI that time, nilitetemeka sana, hofu na hofu ya kifo vilitawala. Nilipima mara 2 TU nikajikuta salama, na from there... nikamuacha bila kumpa sababu, just friendly, na NAAMINI KONDOMU NI KINGA MADHUBUTI IKITUMIKA CONSISTENTLY AND ...!
Ukiweza kuepuka kabisa, umelamba dume!
NB: Niongezee kuwa from there on nikajikuta nakuwa mwanaharakati bila kujijua. I'm now in the front line guys
ReplyDeleteAsanteni kwa kunielimisha. Kumbe VVU ni virus vya ukimwi. Kwa hiyo hata kwa kiswahili mtu haelewi maana yake au ni kuwa na akili ndogo tu?
ReplyDeleteInabidi elimu itembee sana kuhusu huu ugonjwa. Bado upo sana kila kona ya dunia though. Cousin wangu ni Dr kwenye inner city hospital na anasema ni wengi tu wanao pia sana sana miji mikubwa. Na cha kusikitisha ni kuwa wengi wapo kati ya miaka 18 na 26.
Dalili za UKIMWI ni mtu kudhoofu, kuumwa zaidi ya gonjwa moja kwa wakati mmoja, kukohoa kusiko kwisha bila ya kuwa na TB, mkanda wa jeshi, herpes, ukoko katika ulimi na sehemu nyeti n.k. Hivyo huyu mwenye Ukosefu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) ni rahisi kumdhania kwa kutumia macho kabla ya vipimo kusema kama ana VVU au tu ana matatizo ya ki-genetic ya kuzaliwa bila kinga.
ReplyDeleteMtu mwenye VVU ( Virusi vya Ukimwi) ni kama huyo ktk cartoon ya Kipanya. Anaonekana ni mtu wa kawaida, haonyeshi kuadhirika na gonjwa lolote, aweza kuwa mnene au mwembamba, ana ngozi iliyonawiri, haonyeshi dalili za uchovu. Yaani kwa ujumla mtu mwenye VVU kwa muda fulani na kwa watu wengine kwa muda mrefu anaonekana mtu wa afya njema. Mtu wa namna hii huwezi kumhisi kwa kumwangalia kwa macho au hata kwa kumkagua bali kwa kumfanyia vipimo vya maabara vya VVU.
Hivyo unatakiwa uwe mwangalifu.