Habari ndugu Michuzi,
Hongera kwa kazi yako nzuri ya kutu-update na mambo ya jamii ndani na nje ya Tanzania. Mimi nina blog inayoupdate kuhusu ukimwi, kwani watu wengi huwa wanatafuta habari ambazo zitawapa hopes kwao wenyewe ama kwa ndugu na jamaa waliopata maambukizo haya.
Naomba uiwakilishe kwenye blog yetu ya jamii.
Akhsante.
HIVI MTU MWANAMUME AKIPAKA TAN BOND KWENYE NANIHII YAKE ANAWEZA KUPATA UKIMWI WAKATI WA URODA? ASANTENI NI SWALI TU LA MSINGI AMA MAFUTA YA MUGANDO JE?
ReplyDeleteMdau uliyeuliza matumizi ya mafuta kama yanazuia maambukizi!!! Kwa nini usijaribu wewe ili upate ukweli?? Paka hiyo TAN BOND au mafuta ya mgando then kale uroda na muathirika ili ujue kama yanazuia au la..
ReplyDeleteTafiti kama hizo ambazo zinahatari kubwa kwa washiriki zinafanywa afrika kwa sababu ya umasikini wetu na pia hatuna sheria zinazobana tafiti kama hizi kwa kisingizio cha kwa kwamba kuna waathirika wengi. KUWENI makini na mnayoambiwa kwani mnaweza kupoteza ndugu zenu