Habari ndugu Michuzi,
Hongera kwa kazi yako nzuri ya kutu-update na mambo ya jamii ndani na nje ya Tanzania. Mimi nina blog inayoupdate kuhusu ukimwi, kwani watu wengi huwa wanatafuta habari ambazo zitawapa hopes kwao wenyewe ama kwa ndugu na jamaa waliopata maambukizo haya.
Naomba uiwakilishe kwenye blog yetu ya jamii.
Akhsante.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...