Mkuu wa wilaya na balozi wa nanii. Ebu tizama hiyo gari ya Binamu Obama si mchezo manake hadi benki ya damu himo ndani kama ikitokea Rais Obama akaitaji kuongezewa damu.
Mdau,
kutoka kwa Binamu Obama.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Gari lenyewe mbona halina mpango Gari la Raisi wetu Inasehemu ya kujisaidia humohumo hahaaha hakuna cha damu wala moyo ukiandikiwa kuondoka unaondoka tu bora kibajaji lol ila huo mchuma si mchezo basi raisi wetu atataka kuanza kusafiria cadillac soon si tupo. James Ndosi. jamani tuwacheni kuuwa zeruzeru zambi wallahi tuwape haki sawa na wao wawe na nafasi kubwakubwa changes ibadilike na nchini kwetu tanzania bara na visiwani na pwani.

    ReplyDelete
  2. LEATHER SEAT: The dark leather interior is environmentally sealed against chemical attack!
    OVERALL: It is more than a tank!

    ReplyDelete
  3. Haswaa maana ile rada ilinunuliwa kwasababu ya kujikinga na ugaidi ambapo hakukuwa na ulazima saaaana sasa gari linaweza kununuliwa lenye kukinga mawe ya waandamanaji wenye hasira na nchi yao tehe tehe kaaazi kweli kweli!

    ReplyDelete
  4. the vehicle is full equiped agaisnt all necessary attack.but you wont believe me,if CIA wakitaka kumngoa they know the weak point for this vehicle.
    wakiamua its easy,kifaru vinafunuliwa itakuwa hiki.

    ReplyDelete
  5. Unamfagilia kama vile anakupa hela.

    ReplyDelete
  6. mmesahau! na kisima cha mafuta lazma kitengwe

    ReplyDelete
  7. THEY CALL IT THE BEAST, " USA 1" INAHIMIRI VISHINDO VYOTE VYA MABOMU YA AINA ZOTE, NI ZITO KAMA GARI LA TANI 10 CHASIS YAKE NI YA CHUMA NCHI 6, SPECIAL METAL. ITAKUJANALO HUKO KENYA NA TANZANIA ATAKAPOKUJA NA AIRFORCE ONE DEGE LA RAIS.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...