Remembering all your favourite websites is not easy, and its not everyday that you need to google for what you mostly visit or had come across on the internet. This is just a simple idea driving me making this blog, www.mitandao.blogspot.com
I hate forgeting sites i visited, its just not fair.. I feel like i once visited sites i can no longer remember and when searching them online, i sometimes forget even what to search so that i can get to them. If you have any sites you will like me to list them, provided that they are beneficial, just email me
and i will get it linked up, so next time you wont bother looking for them.
You may think why not bookmarking them on my laptop/desktop... but the thing is you are not always walking with them and sometimes you use computers which are not yours to go online. This blog is simply for reminding me what sites i did visited... so if we share the same idea, why not making it a reminder for us all.
MATZAMO NA LUGHA HAZINA MIVUTO, NI RAHISI KUANZISHA BLOG KAMA HII,NA VIGUMU KUIMANTAIN, KWANI ITAKUWA MABLOGER HIVYO KUMNYIMA MMILIKI UTASHI WA KUIAPUDETI. KISWAHILI NA TAARIFA ZA PICHA ZINAVUTA KUSOMA NA KUELEWEKA ZAIDI.
ReplyDeleteKIINGEREZA NI LUGHA YA WAKOLONI WETU, POLE SANA.
Hivi mbona kila mtu anataka kuanzisha blog hata kusipokuwepo na ulazima? Bookmarks mtu anaweza kuzi access any place anytime by simply using any of the following options
ReplyDelete1.http://www.easybm.com/
sign up for free and voila there you are
2.one can back up their bookmarks by simply exporting the .html(eg bookmarks.html) file to either their personal email address au memory stick but i would advice on the email option
3.older versions za firefox zilikuwa na plugin ya kuaccess bookmarks online ila kuna another plugin inaitwa chipmark does the purpose
Kwa wale tunaotumia Linux au Mac kuna option za kumwaga nadhani walengwa wa hii article ni Windows users.
Fikiria kutengeneza multiplatform corss browser plugin kama hii issue ya bookmarks inakukera siyo kuanzisha vi blog vya kulist sites.
Ni mtazamo tu...
delicious.com, digg.com, stumpbleupon.com hizi zote zinasaidia kubookmark online.
ReplyDeleteKutokana na different tastes za watu unaweza kutumia "Bookmarks" on the Mozilla browser au "Favorites" on Internet Explorer.
ReplyDeleteI seriously don't think you need a blogspot to save my favorite websites. Never-the-less, goodluck on your endeavor.
Wadau mbona mnamjua juu jamaa bila sababu .. mchangiaji Tarehe January 26, 2009 8:49 AM, umesema kabisa kwamba window users wana less access na bookmarks zao... na jamaa kashasema kwenye blog yake kwamba anashare bookmarks na watu kwasababu kuzikumbuka ni ngumu na pili anataka kuona wengine wanasoma mitandao gani, hii idea yake ni kushare tunachosoma mitandaoni ili tupate faida sote..Mi binafsi sijaona tatizo hapo, na nampongeza sana kwa kazi nzuri, blog yake inaelekea imetengenezwa na mtu anayejua web designing kwani kila kitu kimepangiliwa sawa sawa... halaf kama mmeona au kustukia jamaa kaweka google adds ambazo zinamuingizia pesa kwa hits... So kwa hili mi naona tumuunge mkono tu...
ReplyDeleteWabongo bwana... kila kitu mnacritisize???? ndio maana hatuendelei.. kwani kila mtu lazima awe mwandishi wa habari huru kwa kujiblogisha!! simple ideas ndio zinawafanya watu watoke online kwa kuingiza hela nene na nyie bila kujua...
Nimecheki blog nimeona katoa link moja ya kubookmark na kushare .. so inaelekea anajua anachofanya...
All the best Mitandao... na waache waseme mwisho walale we unalamba hits za google ads kama kawa...
(US BLOGGER)
Hivi wabongo kwanini mnapenda sana kucritisize..?? jamaa katengeneza blog ya kingereza na kashaonyesha kwamba blog yake ni UK based.. sasa kama washkaji zake wengi wanajua kingereza afanyeje?? halaf mnajua kama blogging ni free online journals>?? kila mtu ana uhuru wa kuchagua lugha anayotaka...kifupi ni kwamba kiswahili kwenye blogs hakilipi.. blog ya jamaa ni international.. na nimeona kaweka vitu vya maana sana...
ReplyDeleteBig up mshkaji
ebwana safi sana, mi mwenyewe ntakuwa wa kwanza kukutumia bookmarks zangu... simply kwasababu nataka kushare mitandao ninayoijua na wengine... duh by the way asante kwa kupost pcadvisor.co.uk
ReplyDeleteHivi mnaosema mnaweza kutumia favourates na bookmarks kwenye web brawsers.. mmesoma "about this blog" jamaa kasuggest vipi ukipoteza pc/laptop/,ac yako au ikicrash.. kwa wale wanaotumia windoz?? na hujasave sites zako kwenye net..??
ReplyDeletesi ndio umekwisha... hebu muwe mnatoa comments wakati mshasoma ideas za watu.. ebo..
Kiswahili nini bwana... hebu acheni zenu... sasa kama yeye kazungukwa na wasiojua kiswahili inamaana awe na blog mbili sio??? moja yenu waosha vinywa nyingine za wadhungu wakee.??? hahahahah Ni mtazamo tu
ReplyDeleteHivi hamjui kama blogging ni "FUN"??
ReplyDeleteau mnaropoka tu..
Big up mzee... kazi nzuri...
Nimependa tech news gadget..
All the best
unayesema delicious.com, digg.com, stumpbleupon.com zote zinafanya kazi moja unamaanisha nini?? aliyeanza asingefatiwa basi..!! kama delicious.com walianza nigg.com wangekaa kimya kwasababu jamaa washawatangulia?? yahoo na google walianzaje??? angalia walipofikia sasa..!
ReplyDeleteJamani sio tu kukandia bila kufikiria..!!
Nilitegemea kukuta watu wamemtupia vidongo, kwa sababu kuna vijibwa humu, lakini inaonyesha mmemvumilia, au michuzi amebana.
ReplyDeleteNadhani idea yako uilengeshe kuwafanya watu wa-share websites. Sijaifungua blog yako lakini ungeweza kuidivide into sports, education, news, discussion boards etc. halafu watu wakakutumia links wanazozitumia mara kwa mara, then watu wakaitumia kuexpore new websites ambazo zinaweza kuwasaidia. Sijui kama nimeeleweka, kichawa changu kina mambo mengi sasa hivi, kujieleza inakuwa ngumu, lakini ukihitaji maelezo zaidi unaweza kuuliza.
(www.mitandao.blogspot.com)
ReplyDeleteMchangiaji wa January 26, 2009 7:49 PM, Asante kwa ushauri, na hapo ndio nilipokuwa nalenga mimi, Idea yangu ni kushare sites tunazotembelea wote, ili tupeane faida kwani kila mtu ana ufumbuzi na utafiti wake katika internet. Ubinafsi ndio unatufanya tukose mengi na kutoendelea, Naamini kila mtu anawebsites anazojua wengine hatuzijui, kwa kupeana mwanya wa kuzitembelea na kupeana habari, tutafika mbali sana....
Nilijua tu "SENENE" wataosha vinywa, kwasababu ndio kazi yao.... wengine hata blog hawajatembelea wanaanza kulalama na kupiga mayowe..
Kupingwa mtazamo ni moja kati ya challenge zinazomfanya mwenye akili na utashi aweze kuendelea kwasaababu anaona upande wa pili wa wasomaji na watoa maoni unafikiria nini hivyo kuboresha kazi zake...
Wazee Just stay tuned, blog iko hewani na Makila kitu yanakuja, Kuhusu swala la kiswahili mtanisamehe kwakweli, kwasababu Nimelenga Dunia nzima, sio tu waongea kiswahili (wanaopata umeme kwa mgao na internet za kulipia 500 p/hr wakati most pple wanaishi kwa chini ya 1US$), sasa kama Kingereza hujui, nakushauri Ujifunze kwani ndio lugha ya watu wengi duniani kwa mawasiliano rahisi na ya uhakika ... sio kwamba sipromot Lugha yetu lakini ukweli ni kwamba Blogging ni moja kati ya vitu vinavyotuletea mapato wamiliki wa blogs kwa kupata hits za matangazo.. we get paid whenever one clicks the adds..
NB: Si kila mtu anaridhika na kazi ya mwingine so tuvumiliane...
Nakutakieni Kila la kheri.
(www.mitandao.blogspot.com)
Wewe anonymous wa Tarehe January 26, 2009 4:51 PM,kuibiwa kukrash or whatever ni matukio tu ambayo yapo nje ya uwezo wa mtu yeyote. Bado sintahitaji hiyo blogspot na labda siko interested kushare website zangu favorites na watu wengine. Kama nilivyosema binafsi sihitaji blogspot kama hiyo na namuombea jamaa mafanikio mema katika huo mradi wake - as for me, I will continue to use favorites and bookmarks inbuilt in many browsers.
ReplyDelete