Mwamuzi wa Kike mwenye beji ya FIFA Zahra Mohammed akichemka katika kutekeleza wajibu wake katika uwanja wa taifa dar es salaam . Zahra ambaye alipata beji ya msaidizi wa refarii yaa TFF mwaka 2002 na ni moja ya waamuzi ambao ni makini na wanaopigiwa mfano mkubwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. bwana michuzi huyu sio mwamuzi (referee)ni msaidizi au mshika kibendera(linesmen kwa wanaume)au lineswomen kwa akina mama)

    OCD

    ReplyDelete
  2. http://www.liverpoolecho.co.uk/liverpool-news/local-news/2009/01/23/arabs-in-as-liverpool-fc-go-up-for-sale-again-100252-22761407/

    ReplyDelete
  3. Ukiwauliza Wabrazil Neider dos Santos na Marcio Maximo wanaweza kuwa na mawazo tofauti juu ya umakini wake.

    ReplyDelete
  4. “It was needed because I know we were in the position whereby something like 7000 referees were walking away from the game each year and that means that something had to be wrong.
    Ni ujasiri sana kuona mwamuzi wa kike katika soka, huku idadi kubwa ya waamuzi wa soka wanaingia mitini kwa sababu tofauti tofauti, huku wengi wakikosa kujiamini, wengine kutokuwa makini na maamuzi yao, wengine unazi wa timu zao nk.

    www.tanzaniasports.com

    ReplyDelete
  5. Anaitwa Assistant referee Anony juu umechemsha hiyo lugha ya zamani

    ReplyDelete
  6. we tanzaniasport kwani lazima kuandika kiingereza? "... that means something had to be wrong." kwani hapo ulikuwa na maana gani?

    ReplyDelete
  7. Michuzi hivi TFF wana website? kama ndio nini anuani yao.. maana kila nikitafuta napata kama site saba hivi zote zinasema ama:tanzaniaff au tff,tff_com,tanzaniafootballf nk je ipi ni website halali ya TFF!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...