tano bora wa malkia wa sebene 2009 wakichuana usiku wa kuamkia leo ukumbi wa new msasani dar
malkia wa sebene 2009 vivian steven baada ya kutwaa taji la kunegua ngwasuma

malkia wa sebene 2008 ketura kihongosi akimpongeza malkia wa sebene 2009 vivian steven

meneja wa kilimanjaro lager george kavishe akitoa shada la maua kwa mmmoa wa washiriki
wakiwa na mashada yao ya maua ni tano bora wa malkia wa sebene 2009





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. tungepata video ya hili shindano ingenoga. Nadhani ingekuwa kiburudisho kizuri kabisa. Au vipi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...