Prezidaa wa Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' Nyoshi Al Sadaat akiongea na waandishi wa Habari jana (leo) katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari uliopo jijini Dar kuhusu athari za wanamuziki kuhamahama katika Bendi mbalimbalimali hapa nchini. Kushoto ni Meneja wa Bendi hiyo Mujibu Khamisi.

for more info bofya www.fmacademia.com
ReplyDeleteMtandao huu ni maalum kwa wapenzi wa FM ACADEMIA
What a freak
ReplyDeleteAnony wa kwanza nashukuru. Nilikuwa sijajua kama wazee wa pamba wana tovuti sasa!!
ReplyDeleteI agree, he looks freaky.
ReplyDeleteNdugu msanii punguza kujichubua,maana huwezi jua madhara utakayokutana nayo baadae, sauti yako kwenye muziki inatosha.
ReplyDelete