CHAMA CHA MAPINDUZI
TAWI LA LONDON - UK
SHEREHE YA KUZALIWA KWA
Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Wanachama Wote - C C M
Wakereketwa Wote - C C M
Watanzania Wote
Tarehe: 07/02/2009 Saa: 12 jioni Hadi Saa 5 usiku
WAPI:
115 Hertford Road
Edmonton
London
N9 7EN
Watanzania ambao wangependa kujiandikisha Uanachama wa CCM, mnaombwa kuleta picha zenu za passport size mbili na paundi kumi na tano (paundi tatu kwa kadi, halafu paundi kumi na mbili kwa ada ya uanachama ya mwaka mzima).
Kwa ufafanuzi zaidi, tafadhali wasiliana na:
Tinno Msei - 07949000736
Wencheslous Ikumla- 07825253375
Moses Katega - 07728616029
Wote Mnakaribishwa!
Kutakuwa na Vinywaji, Vitafunio, Live Band, ngoma za asili na mengineyo
Kiingilio – BURE!!!
www.ccmlondonuk.org
www.ccmlondonuk.org
Mkuu Misupu, nawapongeza Watanzania wenzetu kwa hatua waliyofikia, japokuwa nina wasiwasi kama Watanzania walio nje ya Nchi wanahitaji kujigawa katika makundi ya kichama ili kuisaidia Nchi.
ReplyDeleteUnapoanza kujigawa kichama unapunguza ushawishi ktk kusaidia Watanzania masikini kwa kujivisha taswila ya Uchama. Ni wazi kwamba hawa wenzetu wakihitaji michango ya kusaidia Watanzania lazima itatolewa kichama na beneficiaries watakuwa wenye mlengo wa kichama. Sasa tunakwenda wapi? Tunashindwa kuona na kujifunza mfano mzuri wa wenzetu wa India walivyosaidia nchi yao? Kwanini Watanzania kila tunalofanya linakuwa na usiasa ndani yake? Malengo hasa yanakuwa nini?
Johnshaaban.