RT anajinyakulia tiketi ya kushiriki Usiku wa Chakula cha Mwafrika pale katika lodge matata ya Mwanzo Park, usiku wa tarehe 31/1/2009. RT pia anajinyakulia huduma ya bure ya malazi katika chumba chenye hadhi ya daraja la kwanza hapohapo Mwanazo Park.
RT pia anajitwalia heshima kubwa ya kuendeshwa na mwenyekiti wa kijiji toka Dar es Salaam hadi Mkuranga kunako Lodge, chini ya upambe mkubwa wa mama mwenyekiti. RT pia anajinyakulia heshima kubwa ya kupokewa na kupatiwa ziara mardadi na mkurugenzi mtendaji wa Mwanzo Park Lodges, pamoja na kunyuka mifoto na mkuu huyo.
Kijiji pia kinatoa ofa kabambe la kujaza nyuki (vinywaji visivyolevya) kunako meza ya chakula cha RT.
Hongera RT, wanakijiji wameamua, na kwa kura 10 kati ya 23 zilizopigwa kwa majina 11 yaliyopendekezwa, wewe ndio mteule wetu kwa shavu hili la kwanza.
Kila la Heri kwa ziara yako.
-- Othman Michuzi Jr
-- Othman Michuzi Jr
P.O.Box 33699.CELL: +255 713 775869,
+255 773 721 003
Dar Es Salaam
Tanzania.
michuzijr2.wordpress.com
- fotobaraza.ning.com
naomba kujua kama hicho chumba atalala peke yake au
ReplyDeleteila mtoto ana.....
haya hongera zake.
ReplyDeletenaweza kupata kontact zake kama hutojali.
imekuaje mbona hilo shindano aliloshinda hatukuliona?
ReplyDeleteanyway hongera sana
ukirudi huko mimi nitakupeleka kunduchi bwana kuna hoteli matata.nitakufata hadi kwenu.
ReplyDeleteusihofu mimi ni mdada ila nitaambatana na kaka angu
sasa tukitaka kumsindikiza ndio tuwasiliane na huyo othman michuzi??wapi contact yake?au hatuwezi kumsindikiza.
ReplyDeletepia mngetuambia hotel iko sehem gani nataka kupiga picha naye.
big up ritha mamaa
ReplyDeleteila be careful
huyu ritha ameolewa??
ReplyDeletemi natafuta mchumba mwenye sifa kama zake.tena anaonekana anakubalika katika jamii yake na ndio maana wamemchagua aende huko.naomba adress zake
michuzi nitakuandikia email saa10 ya bongo.
tafadhalini tu hii picha ya mdogo wangu msije kuipeleka kwa mwenye utamu.nitakula sahani moja hadi kieleweke.
ReplyDeleteMichuzi jr mimi naomba unipe nafasi ya kumuendesha, naahidi usafiri wa nguvu na maridadi unaolingana na hadhi yake.
ReplyDeletenimekubali dada unafaa kwenda kula maanjumati!!!
ReplyDeleteMhh iwe bojo kaisiki karungi amaisho ntongo wa kure kure kwetu
ReplyDeleteHizo ndio namba zako iwe kaisiki RT ngoja nikutwangie nije nikupe kampani mwanzo park lodge.
mai mai mai!! Ritha mbona kujiponza hivyo, yaani wanakutoa picha hii nzuri na unakubali, iwe olayemanya, amaisho gabagunukile ohmumtwe banja kukutola nkenshenene. Ekilio mpa akanamba kawe nkugambire okwolabeiruka
ReplyDeleteduh kweli bongo tambarare.....
ReplyDeleteno comment to add
ReplyDeletenakuombea tour njema ya huko,ila umebarikiwa bwana but take care wasije wakakufanyia ufisadi wa mapenzi.ningekua sijaoa ningefanya lolote ila ndio kama nilivyosema nothing to add.
oooh ritha,
ReplyDeletehata siamini ndo ritha wewe ninaekujua aka ...
ningekuwa mimi nisingekubali ofa ya peke yangu mpaka niwe na patna wangu.
nshomile habahatishi....tupo juu kanda ya ziwa kuanzia mwanza kuzunguka musoma bukoba huko hadi...
ReplyDeletena bado ndio mwaka umeanza huo
yani anno wa kwanza na wengine wenye ROHO YA UZINZI
ReplyDeleteaaaaagh acheni izo nyie makuwadi na mafisadi wa mapenzi,,,
binti mambo gani ayo kujianika humu??huna heshima eeeee
afu michuzi Jr ndo nini??
nyie mnaoongea kihaya na bojo zenu humu blogu ya jamii ndo nini??
ReplyDeletewee michuzi unajuae kama wamechafua hewa humu?labda ni mizinga ya mitusi ya nguoni
you are too kupendelea michu umeoa uhayani nini?mana uwa mnashikika aswaa
wabongo nanyi hamna dogo
ReplyDeletesasa huyu kawekwa kwamba ameshinda.
wengine wameanza ooh kontakti mara kihaya mara wanataka kuoa.fungeni madomo yenu.na wewe mwenye wivu unaesema kajianika kwa hiyo baada ya ushindi wangemficha kibindoni au?nenda kaangalie chanzo ni nini.
na nyie madomo zege mnaosubiri kutongozea hapa nendeni kwenye link za wanaotafuta wapenzi
hongera mwaya mtoto mzuri.
ReplyDeletemara moja moja si mbaya
kwanza aliewambia huyu ni muhaya nani?watu mnajua kutukia tu yasiyowahusu,wahaya mmeshaanza kujisifia hapa na misifa yenu ya kijinga kupendfa sifa.
ReplyDeletekwa taarifa yenu huyu mmakonde wa mtwara.
hongera sana mrembo.
ReplyDeletenatamani ningekuwepo nawe huko shosti angu.ila najua si haba utaniletea.
si bure michuzi kuna uhusiano na huyu binti.
ReplyDeletealiyekutumia habari ni othman michuzi na wewe ni michuzi sasa huyu ni ndugu yenu?shemeji yenu?dada yenu?rafiki yenu?
kama ni kukupongeza tu.tutakupongeza vingi.
ReplyDeletehaya hongera ritha
mimi bado nasisitiza naomba masiliano yake nina tenda ya umodo aka full maubunifu ya mavazi na mapicha.
ReplyDeletehongera sana ritha.
ReplyDeletemdau from barazani.
big up sana tu.
ReplyDeleteyani upo juu,i like that!!!
Hongera sana RT kwa kujinyakulia hiyo nafasi ya pekee.Tunakupa Big Up!Classmate wako A Level a.k.a Kinondoni Camp
ReplyDeletejamani mbona hata sio drop dead gorgeous huyu...aftrall she aint cute at all...I aint hating jst giving my two cents on those deceiving her tht oh ure so ths...and tht....hahahaa...
ReplyDeleteHongera...even tho hata huko unakoenda sikujui.
mdau
New England,USA