
HELLOW BALOZI WA NANIIIIIIIIII,
KWA NIABA YA WADAU WOTE POPOTE PALE WALIPO DUNIANI KOTE NAWATAKIA MWAKA MPYA MWEMA 2009 UWE WA MAFANIKIO ZAIDI YA 2008.
HONGERA BRAZA MICHUZI KWA KUTULETEA HABARI MOTOMOTO.MUNGU AKUBARIKI SANA. ZAIDI YA YOTE ASHUKULIWE MUNGU ALIYE JUU MBINGUNI KWA KUUMALIZA MWAKA SALAMA SALIMINI.
MIMI WAUKWELI NA WADAU WANGU KWA PAMOJA TWASEMA
HAPPY NEW YEAR 2009
Matilda Joseph.


Mh, Matilda umeamua kutafuta mume mwanzo wa mwaka! Make gia uloingia nayo si ya kawaida. Kua wazi ili usaidiwe, dadangu!
ReplyDeleteNa kwako pia Matilda.
ReplyDeleteDa Matilda mbona hayo macho ya kichokozi? Happy newyear 2U2.
ReplyDeletehuyu dada kaolewa,i mean martilda!ametoka mchicha na anaonekana mrembo kweli,hata e mail yake basi,sie hatutaki kuoa nigeria au liberia.
ReplyDeleteNatural Beauty
ReplyDeleteAsante kwa kutukumbuka. Unapendeza sana katika picha na asante kwa courage.
ReplyDeleteHappy New Year
Isiwe taabu akina kaka anaye taka kuwasiliana nami atumie email matilda25@yahoo.com lakini kama una uhakika kuwa wewe ni wa level yangu kwani mimi matawi ya juu. Asanteni wadau.
ReplyDeleteMatilda Joseph
Samahani wadau mail yangu ni matilda2560@yahoo.com na siyo matilda25@yahoo.com. Samahani kwa usumbufu.
ReplyDeleteteh teh...haibiwi mtu 2009
ReplyDeleteSamahani nilikosea tena, e-mail yangu ni matilda2560m@yahoo.com. Msilete mzaha tu.
ReplyDeleteHii inaitwa kuuza sura at any cost...lol...kama hamna wanaume wa kuwaoa huko Tanzania si mkae as single ladies....shame hey eti mimi matawi ya juu....say what agin,matawi ya juu hawajitangazi unaona tu mwenyewe mambo yao....
ReplyDeleteAnafanana na mke wa Snoop Dogg katika show yake ya fatherhood.
ReplyDeleteFafanua matawi ya juu ndio level gani? Mi mshamba wa bongo nisaidie, are you in the first class? I mean you eat first class, you dress first class, you sleep first class, you travel first class na zaidi you hang out with first classizzzzzzzzzzz???
ReplyDeleteSasa kama hata E-mail yako unakosea kosea inaonyesha you are somehow kihiyo,
ReplyDeleteHuo u-first class unaozungumzia ukoje?
We sema tu unatafuta Bwana wa kutoka nae 2009,
Manake hata huo ukweli unaojiita mbona mi nkiangalia picha naona uongo tu.
a.k.a HAIBIWI MTU HAPA
Wewe anonmous hapo juu unaakili kweli ww?Kwani umelazimishwa kutoa comm? km unataka kuona mambo yake ya ukweli mtembelee
ReplyDeletewww.waukweli.blogspot.com
Na ww unayeandika emailya uongo acha kuchafua mambo ya watu waweza kumtembelekwenye blog yake hiyo hapo juu.
Queen
Jamani mi naona huyo aliyeweka email wala sio yeye.
ReplyDeleteIla kuna mtu kasema mtembelee blog yake uone ouch...Sorry this is my opinion ....jina zuri la blog lakini halimake sence na mambo niliyoona...Firt there is nothing to see there....
umeuza ubwabwa umeona hautoshi sasa umeamua uuze na sura ndio mnavyoanzaga hivyo mwisho tunawaona kwenye zile web zenu mnauza naniliu
ReplyDeleteiyo lipshiner khaaaaa kituko!!!
ReplyDeleteJamani wanadamu hatukosi cha kusema,any way kila mtu na mawazo yake na mtazamo wake.Mimi sioni kosa lolote kwa huyu dada waukweli,her main theme was to wish you people a happy new year and she did that for love.Kwani mbona nyie hamjatutumia salamu zenu za new year,mioyo kama hiyo inapatikana kwa watu wachache sana kama yeye.Mie namsaport saaanaa.....by Elyc
ReplyDelete