mdau omar baraka anatuma taswira hizi za mwisho wa reli a.k.a kigoma akitutakia wadau wote heri na fanaka ya mwaka mpya na kusema hakuna stesheni iliyo bomba kama hiyo.
mandhari
safari ikikaribia kuanza
sehemu za pikiniki kibao




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Khe!!! Sikujua kama Kigoma kuna mandhari nzuri hivi,itabidi ninunue kihamba huko!!! Thanks kaka michuzi kwa post hii.Lazima nikawekeze huko i can see kuna business opportunities huko.

    ReplyDelete
  2. hey wadau juu. kusema kweli kg kuko bomba kinoma. i hope hapo ni bangwe beach au siyo Uncle Michuzi. ebu tusaidie.

    ReplyDelete
  3. Ni kweli Kigoma ni bomba. Viongozi wetu wamekalia kukaa tu Dar na kuhudhuria vikao Dom na kwenda study tour zisizoisha majuu. Wajameni mpaka mkenya/mganda aje achukue nchi na oppurtunities zetu zote?? Watanzania sijui tutaamka lini, hata barabara to Kigoma tumeshindwa kujenga?? Ukitembelea vijijini Kasulu & Kibondo ndo unaweza kulia kabisa. Ardhi nzuri, mazao kibao yanaozea shambani.

    ReplyDelete
  4. tunapandisha kwenda mwanga buzeba zeba then ujiji kununua nyanya ntole na migebuka na primus ebwana umenikumbusha mabli enzi za kina violet Mzindakaya Emanuel Kiliba na wengine wengi, wakati huo tunacheza disco kwenye hoteli ya mji mwema kacumba kadogo sana lakini tulikuwa tunayarudi si mchezo

    ReplyDelete
  5. mdau uliyeweka comment ya buzebazeba na primus, nani mwenzangu manaake inaelekea tunajuana tu kwasababu hao watu uliowataja wote walikuwa rafiki wa dada zangu na kaka zao ni washkaji sana wangu...
    hahahah umenikumbusha mbali sana...

    Mdau UK (zamani lubengela flat za nbc)

    ReplyDelete
  6. bwana michuzi asante sana kwa hizi picha za kigoma. kwakweli sikutegemea ni kuzuri hivyo. viongozi wetu changamkieni hapo.panaonekana panaweza kuvutia watalii, wa nje na ndani ya nchi yetu. nimesikia lake tanganyika area is one of the most beautiful places in the world. michuzi picha kama hizi ni nzuri sana. nimechoka kuona some blogs wakituonyesha depressing photographs peke yake. tunataka picha zenye hope kama hizi. i am sure tanzania has a lot of attractive places. keep on bringing them mr. m

    ReplyDelete
  7. mandhari murua sema serikali irekebishe miundo mbinu na sie pia tuweze kwenda kutembea

    ReplyDelete
  8. serikali yetu inatakiwa kuwekeza kwenye sehemu kama hizi kwa ajili ya utalii. tuna sehemu nyingi za kuvutia watalii lakini hatuziendelezi. wenzetu kenya wana sehemu chache kuliko sisi lakini wanapata pesa nyingi kuliko sisi. the government has to wake up and see this. to make money you have to use money. hizo pesa wanazotaka kuwapa shirika letu la ndenge ambazo hazitaleta faida yeyote si wangezitumia kwenye sehemu kama hizi kukuza sector ya utalii

    ReplyDelete
  9. Picha ya kwanza hapo juu kwenye kilele cha hicho kilima kuna tank la maji linalo supply mji wote,upande wa pili kuna mji uitwao mjimwema,
    picha ya pili hicho kilima ni kijiji kiliitwa na wazungu COOL BREEZE wenyeji wakakikung'uta KIBIRIZI kuna dagaa wa kufa m2,ndiyo route ya kwenda Bujumbura.

    ReplyDelete
  10. KIBIRIZI???BREEZE?? hahahahahaaaa
    umeniacha hoi wee annon

    ila kwa picha hii michuzi saaafi sana yan umenifungua jicho naenda tafuta ardhi/kitega uchumi kigoma right away,,,me ayo ndo mambo yangu nasaka mahali fertile km apo basssiii.wajiju wooote wenye kugandana na mahali pasipo na tija/maendeleo.
    yan maeneo ayo hapo pooooa kabisa,,Tanzania oyeee idumu milele 2009 kuendelea
    Mungu ibariki Tanzania yetu

    ReplyDelete
  11. tatizo la viongozi wetu wao wanajua utalii ni arusha na zanzibar. hawajui kila mkoa una vivutio vyake hiyo ndio bahati tuliyonayo tz. kwa ujumla sehemu yoyote yenye ziwa au bahari tayari inakuwa namvuto wa asili. kigoma inapaswa kuwa mji wa kitalii. mwanza na mawe yake pamoja na ziwa victoria ni utalii tayari. huku ulaya na america watu wanatembea kuona miji ilivyojengwa lakini sio vitu vya asili km tulivyonavyo africa. km ni kujengeka kwa miji haya yetu itakuja kujengeka hata kama ni miaka 500 ijayo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...