http://mtibwasugar.com/
Mkuu wa Wilaya ya Tegeta na Balozi wa nanihino...
Nomba niulizie kwa huyu Imani Mahugila Madega (Mwenyekiti Yanga) na Mwenzie Hassan Dalali (Mwenyekiti Simba) wana matatizo gani????
Yaani wao kazi ni migogoro tu, hawaoni wenzao wameanza juzi lakini tayari wana tovuti bomba ambazo zinatoa habari kwa washabiki wao bila kuwa na haja ya kungoja chombo cha mtu???
Madege na Dalali waache mambo ya kizamani. Mie Simba damu lakini ningefurahi sana sana sie na watani wetu Yanga sote tungekuwa na tovuti. Tatizo liko wapi klabu kongwe kama hizooooo? Ah! Inatia kinyaaaaa kuwa na viongozi wa miaka ya 47. Acheni hizo wazee. Mambo ya kizamani hayo...
Mdau Oman
Ni kweli hizi klabu zetu kongwe zina matatizo sana, kwa mfano mimi nakumbuka klabu ya simba ilishawahi kuwa na tovuti yake lakini ilifanya kazi kwa muda mfupi sana,na hao yanga nao wakati wa kampeni huyo katibu mwenezi Francis Lucas nae aliahidi kuweka intaneti cafe hapo klabuni pamoja na kuwa mtandao wa klabu,lakini ni miaka karibu miwili na nusu sasa lakini hakuna hata harufu ya mtandao .wanahitaji kuamshwa hao wamelala sana,wanamtegemea Manji tu, sijui akiondoka watampata nani wakati wenyewe ndio huu, Manji kawabeba sna oneni aibu.Amkeni.
ReplyDeleteKuna mdau wa post kuhusu siasa na michezo,jibu ndio hilo!!!
ReplyDeleteeti vilabu kubwa!!!
ReplyDeletekumbe ovyooo wamekalia ugomvi,umbea yani ni uswazi kwa kwenda mbele
awa ndo wanatufanya tuchukie soccer la Tz,me ndo uwa sielewi kabisaaaa naona michosho tu.
mtibwa na azam saaaaaaaaaaafi sana mnatia moyo endeleeni ivoivo
tutafika tu
YANGA NA SIMBA MDOMO MWINGI TATIZO.
ReplyDeleteKlabu za Yanga na Simba si za michezo zile ni za ugomvi ,fitina na kasheshe kwa siku hizi.Hapana wapenda mpira pale.Sitegemei leo wala kesho kwa watu kama kina Madega kufikiria au kuwa na ujanja wa kuwaza juu ya web page au internet,na Maelezo wamwachie nani?Huo ndio uwezo wao, future strategic thinking kwao ni dhambi kubwa!!
ReplyDeleteSimba walikuwa nayo Simbasportsclub.com sasa sijui iliishia wapi kulikuwa kuna wachezaji picha zao kuhusu majina na age kuna wengine nilisoma nao wao walikuwa juu madarasa mawili ila nashangaa Age waliweka ndogo mara nne yake sijui walikuwa wanawatangazia.
ReplyDeleteBrother Michuzi...heshima yako mkuu... kwanza big ninawapa big up mtibwa sugar kwa kufungua tovuti yao wenyewe...this shows that there are people in tanzania who are ready for changes...we are in the 21st century thus we should be on the same pace of this very century...
ReplyDeletepili ni kwamba we need to encourage big teams to come up with their own websites because its only when you help yourself that's when you are helped by others...what i m trying to say is that ikitokea mdau yeyote anataka kuekeza kwenye mpira..ataenda kwenye timu ilio onyesha juhudi ya kujikomboa...let us take the example from mtibwa sugar and encourage other teams as well to think broadly
we cannot be in the 21st century pace with a 20th century mentality
Siyo Simba na Yanga,TFF bayo website yake ina mgogoro(Kama bado ipo),nimeitafuta siioni!!Ni tatizo kubwa.
ReplyDelete