bustani ya forodhani inavyoonekana leo baada ya kufanyiwa ukarabati wa nguvu
urojo na pweza vinapatikana kwa sasa na vitapatikana naadaye katika uchochoro huu uliopo kati ya ngome kongwe na jumba la ajabu
Mkuu wa Wilaya ya nanihiiiiiiiiiiiiii
Wape wadau raha ya taswira hizi kama walivyoomba kuona forodhani ilivyo kwa sasa na ni wapi watapata urojo bustani hiyo itapofunguliwa.
Mdau znz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hilo jengo mbona limejaa fungus na algae

    ReplyDelete
  2. Wewe anonymous wa kwanza unashangaa fungus na algae, ndiyo maana ya kuitwa jengo la ajabu

    ReplyDelete
  3. wewe anony wa 2 kama hujui bora ukae kimya

    ReplyDelete
  4. nakwambia aibu tupu anon 2!! kinyamazihe tuu.. so disgusting!!

    ReplyDelete
  5. hahahhahahahaaaa kwi kwi kwi
    nyie wadau mliojibu apo,,,menivunja mbavu uwiiiii
    mtu=kivuli???chura amekaa,amesimama,amechuhcumaa???
    hahahaaaaaaa
    urojoooooooo swaaaaafi sana pale forodhan ndo eneo langu la kutalii
    zenji oyeeee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...