huyu ndiye mfalme wa zenji flava Mbaraka Abdallah Mgeni a.k.a berry black akiwa na tuzo yake ya msanii bora wa visiwani kwa mwaka 2008. ukitaka kusoma zaidi habari zake:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamaa ana deserve. Yupo tight sana na nyimbo zake zinawabamba wananchi wa rika lote ndani na nje ya nchi.

    Hongera Mkuu ila sasa tambua kushika namba moja ni rahisi ila tatizo kuitetea ndio kazi. Tuzo hiyo sasa isikupe kichwa cha kujibwetesha kama umeamua kazi kuwa mziki basi komaaa nao uitete nafasi yako.

    Mdau Davey Road

    ReplyDelete
  2. Hongera jamaa ila tabasamu kidogo

    ReplyDelete
  3. ndugu ukipata vijisenti kidogo naomba urudi shule elimu muhimu ndugu sawa

    ReplyDelete
  4. Kaka unawashika from coast to coast. Vijiba roho kazi kuhema tu, wewe ni level nyingine!

    Do ur thing kid!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...