mabingwa wa kandanda marekani kaskazini msimu uliopita vancouver whitecaps wanatarajiwa kutua bongo mwezi ujao tarehe 6 kwa michezo kadhaa, ikiwa ni pamoja na taifa stars, yanga na simba. kwa mujibu wa msemaji wa waandalizi wa ziara hiyo, laurel hubert, mkutano wao na waandishi wa habari utafanyika wiki hii dar
whitecaps katika moja ya michezo yao
beki wa whitecaps akipambana na david beckham wa L.A. Galaxy katika mchezo wa ligi ambapo whitecaps walishinda 2-1mengi mengine kuhusu whitecaps


Huyo beki amekaa mkao wa kupigwa ama kanzu au tobo na Beckham. Hao jamaa wanaweza mpira kweli manake waingereza hawapigi kanzu na matobo.
ReplyDeleteitakuwaje hawa wacheze na timu ya taifa? kwani timu yao pia ni ya taifa?
ReplyDeleteJamani Whitecaps hawako ligi moja na LA Galaxy! Huu ulikuwa mchezo wa exhibition tu, sio wa ligi. Whitecaps wako "daraja la pili". Tusiwapotoshe wadau jamani.
ReplyDeletemchangiaji wa pili good point tena hii timu wala sio kubwa iko katika daraja la pili.
ReplyDelete.....kutalii....wathungu...
ReplyDeletehttp://usl1.uslsoccer.com/hii ni web ya USL FIRST DIVISION
ReplyDeleteAustin Aztex
Charleston Battery
Minnesota Thunder
Montreal Impact
Portland Timbers
Rochester Rhinos Whitecaps
Puerto Rico Islanders
Miami FC Blues
Carolina RailHawks
Cleveland City Stars
Please naomba wapenzi watembele hiyo web
Mpenzi wa mpira