mdau salim j alikuwa zenji hivi karibuni na kutikamatia taswira hizi za bustani ya forodhani inayopigwa sopu sopu kabla ya kufunguliwa mwezi ujao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Foro panavutia lakini wananihii walivyowachafu watapananihii sasa hivi!!!!!!

    ReplyDelete
  2. unaposema wananihii una unakusudia wananhii au akina nanhii?

    ReplyDelete
  3. ni kweli patakuwa hapatamaniki wakifika wanani hii kwani watageuza pia ndio mahali pa kulala

    ReplyDelete
  4. nakusudia kusema wamasai.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...