
mdau rolandi akitumia kamera yake ya simu aina ya ericsson katuleta snepu hili la timu ya netiboli ya jkt ilipowasili dar jioni ya leo kutokea zenji ilikonyakuwa ubingwa wa klabu za afrika mashariki na kati.
kesho chama cha netiboli (chaneta) kimewaandalia malkia hawa wa netiboli kanda hii ya afrika hafla malumu ya kuwapongeza ambapo mwakamu mwenyekiti wa chaneta shyrose bhanji atawakabidhi sh. milioni moja kuwapongeza kama alivyoahidi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...