
Michuzi!!!
Kama maelezo yanavyojieleza kwenye Termination letter Cargill ndio imefunga operation zake rasmi due to world recession.
Kama maelezo yanavyojieleza kwenye Termination letter Cargill ndio imefunga operation zake rasmi due to world recession.
Impact kwa wakulima na wananchi
Msimu wa 2000/09 Cargill ilinunua pamba kwa wakulima kiasi cha kilo Millioni 27 za Pamba kwa bei ya Wastani wa 500/- malipo taslimu. Kiasi cha Billioni 13.5 ilikwenda kwa wakulima Mkoa wa Shinyanga Kwa kampuni ya Cargill Peke yake.
Kampuni hii ilikuwa na wafanyakazi wakudumu wapatao 100 na vibarua zaidi ya 800.
Kampuni hii ilikuwa imejikita katika wilaya zifuatazo:
1. Maswa
2. Bariadi
3. Meatu
4. Kahama
5. Bukombe
6. Geita
7. Kishapu
The implication thereto means that about 27 million kgs zitakosa mnunuzi kwa misimu ijayo, na idadi kubwa ya watu waliokuwa wakiishi maeneo ya shughuli za kampuni hiyo maisha yao yatakuwa hatihati due to the fact that many of them depended mainly on Cargill e.g. Mama Lishes, Shop Owners, Transporters, and the business oriented in general.
Mdau.


vijana wetu mashaka na shayo walitushauri vizuri sana kuhusu haya matatizo lakini Kama tulivyowajuaji tuliwapuuzia na kujadili mengume tofauti. Bwana michuzi unwaweza kufungua upywa ule mjadala wa hatima ya Tanzania bila kilimo? Makubwa pengine huu ndo mwanzo
ReplyDeleteNa bado! Ilitangulia GTV sasa Cargill kwishnehi. Tutaendelea kuhesabu.Je tuliambiwa haya na kina mzee so and so wakati wakiupigia debe utanda wazi? Alafu siku za kwanza kwanza wakati recession inaanza anza kutunisha msuli wake, kabla ya uchaguzi uliyomleta Baraka kwenye urahisi wa Marekani, kuna viongozi wetu eti walidiriki kusema haitaathiri uchumi wa TZ! Hatuko tayari kabisa, wala hatuna mpango. Na hizo USD 20m katuachia mjomba Niha (aliyefungua wanja jipya neshno) mbona hatujaelezwa zitatumikaje? Walau Unguja na Pemba wamesema fungu lao litawekezwa kundeleza ICT visiwani. Bara je mbona kimya?
ReplyDeleteNi wakati wa serikali kutoa fungu la hela kama ambalo imetoa kwa ATC, ili kuokoa hii kampuni ili kuokoa ajira na watu ambao vipato vyao vinatokana na pamba wanauza kwa hii kampuni. Na vilevile kuchukua hatua ambazo zitafanya hiyo pamba iwe na soko hapa tanzania kwa kuzuia au kupunguza import ya pamba, kusema buy tanzania kama waamerika wanavyosema buy americani. katika hii recession kila taifa limekuwa protectionist, nationalist na vilevile mataifa ya ulaya yana subsidies bidhaa za kwao. hawa watu wanaotegemea kipato kutokana na hii kampuni wanaweza kukata tamaa na matokeo yake zeruzeru wengi wakauliwa kwa imani za kishirikina.
ReplyDeleteThanks for these gloomy news.Here in UK we are almost used to them now. Companies are colapsing left, right and centre.
ReplyDeleteHowever in my opinion it seems you have have jumped into this conclusion "about 27 million kgs zitakosa mnunuzi kwa misimu ijayo".
The fact is mnunuzi anaweza asiwe Cargill but Mungu anajua kutua riziki zake.
We have elected our leaders for times like these .
Mungu ibariki Afrika,Mungu ibariki Tanzania
Kaima
SULUHISHO NI KUJENGA USHIRIKA IMARA WENYE UWAZI NA UWAJIBIKAJI NA SI WALAJI NA WABABAISHAJI. HUWEZI KUTEGEMEA KAMPUNI YA NJE KUNUNUA PAMBA AU KAHAWA MILELE. SHIRECU, NYANZA, KCU NA VYAMA VINGINE VILILIWA NA WACHACHE NA HAKUNA ALIYEFIKISHWA MAHAKAMANI. TUANZE UPYA SASA.
ReplyDeleteMimi nilishangaa sana viongozi wetu walipoulizwa kuhusu athari za Economic crisis iliyoikumba dunia. nakumbuka kiongozi mmoja wa juuu BOT alisema Tanzania haitaguswa na tatizo hilo! Huo ulikuwa ni kukosa upeo wa tatizo hilo linavyokuwa, au ni kuingiza siasa hata katika mambo ambayo hayana uhusiano na siasa. Uchumi ni uchumi na siasa ni siasa. Tupo katika kipindi cha globalization na global markets. Na tumefungua uwekezaji, watu wengi wanatoka nje kuwekeza hapa kwetu, na hao ndio tunawaheshimu! sasa wanapofunga shughuri zao, sisi lazima tupate matatizo! Mfano, kutengeneza Vitambulisho vya kitaifa, tunatafuta makampuni kutoka nje, hata kama Tanzania tunaweza kutengeneza kwa bei ndogo vitambulisho vyenye ubora kama huo! Ni makampuni kama hayo, katika hali ya sasa watashindwa kutimiza yale tuliyo yatumaini na kubaki mdomo wazi na hasara kibao kama za kupoteza ajira! Global economic crisis hii inatufanya kushindwa kupata mapato kutokana na utalii, watu wanapunguza matumizi kwa kuacha kusafiri nje, Masoko yanayo nunua mazao yetu ya Biashara yana pungua, Makampuni na mashirika yaliyowekeza kwetu hayawezi kufanya hivyo tena! Hizi zote ni impact kubwa katika uchumu wetu unaochechemea! sasa tukiweka tatizo la kukosa uzarendo na ufisadi, basi ndio uchumi wetu unakuwa static! Lakini ukiwauliza wanasiasa watatueleza, uchumi umekua! kusudi wapate kura!
ReplyDeleteYanayotokea sasa yanatupa picha ya Tanzania ya Kesho na keshokutwa.
Haya mambo yana athari gani kwa ajira milioni moja katika sekta isiyo rasmi za Kapuya na JK?
ReplyDeleteShida bado tumeng'ang'anepo kuuza pamba malighafi badala ya kuuza nguo. Ubungo Garments tumeishambaratisha basi hata viwanda vya kutengeneza majora ya vitambaa navyo hatujaongezea vingine. Watu bado wanavaa, wanaweka mapazia nyumbani na wanatandika matandiko.
ReplyDeleteCha muhimu hapo ni kuhamaisha wazawa kuanzisha viwanda vya kutengeneza vitambaa pamoja na bidhaa za tiba vinavyotokana na pamba ili kutatua matatizo ya utegemezi mkubwa wa nje. Mfano nchi inaagiza bidhaa nyingi za tiba vinazotengenezwa kwa pamba kutoka nje ya nchi, kwa nini tusizalishe wenyewe ili tuokoe matumizi ya pesa za kigeni, kuongeza ajira, kuongeza thamani ya pamba yetu na pia kuuza nje ili tupate dollars. habai ndiyo hiyo, kama hatutakuwa wabunifu ktk kutumia rasilimali zetu ili zikuze uchumi, tutakuwa ombaomba kila siku na pia nchi kuwa shimo la kupokea vidhaa za nje
ReplyDeleteNanukuu.."Due to these harsh economic conditions and world ression, cargill Tanzania Ltd, has no alternative but to close down all operations in TANZANIA"(Cargill,2009). John Mashaka alisema watanzania wenzangu tujiandae kwa hili janga,linakuja huko!!. Was Mashaka right or Wrong?
ReplyDeleteNanukuu..."most regrettably the decision has necessitated terminating the services of all our TNZANIAN employees"(Cargill,2009). Beno Ndulu alisema msiwe na wasiwasi Tanzania haitaathirika na huu msukosuko wa kiuchumi.Was Ndulu wrong or right?. Hahahaaa....hawa ndio wataalam wetu tunaowategemea Tanzania.
Mkuu wa nanihii...Nawasilisha
Mdau
Cardiff
Jamani acheni ku-pani hii ni capitalism. Hali kama hii inakuja na kuondoka, kampuni ambazo haziwezi kusimama wacha zife tu ili kampuni imara zisimame. Hali itarudi kuwa shawri, haina haja ya ku-panic.
ReplyDeleteHAPA TUNAONA UMUHIMU WA KU-DEBATE MAMBO BADALA YA KUKANDIANA TU, MASHAKA AND SHAYO, NA HUYU GOVERNOR WA BENKI KUU WALICHANGIA MAMBO HAYA NA WATU BADALA YA KUYAJADILI WAKAANZA KUWAJADILI WAO. UKWELI WA MAMBO NI MAGUMU NA YATACHUKUWA SIYO CHINI YA MIAKA MITATU KUANZA KUWA SHWARI, KUANZA SIYO KUWA SHWARI KWANI HATA ILE YA 1930s ILICHUKUWA TAKRIBANI MIAKA KUMI KUWA TENA KAMA ILIVYOKUWA. KUNA WATU HAPO WANASEMA ETI TUTENGENEZA NGUO ZETU WENYEWE BADALA YA KUUZA PAMBA, SWALI KWA SOKO LA NJE AU NDANI, KAMA NJE NI KAZI BURE KWANI HUKU MADUKA MENGI YA NGUO YANAFUNGWA HAMNA WATU TENA WANAONUNUWA NGUO KILA IJUMAA KAMA ZAMANI, CHINA VIWANDA VINGI VINAFUNGWA AMBAVYO VILIKUWA VINATEGEMEA ULAYA NA AMERIKA KAMA SOKO LAO, UKIENDA HIGH STREETS ZA LONDON MADUKA KIBAO YANAFUNGWA KILA SIKU STREETS ZINAKUWA EMPTY SI KAMA ZAMANI, KWA MFANO OXFORD STREET LONDON ILIKUWA HATA PA KUKANYAGA HAMNA ALL THE DAYS SASA NI EMPTY PEOPLE ARE THINKING ABOUT FOOD FIRST RATHER THAN LUXURIES, NCHI ZENYE UTAMADUNI WA KUUZA SOFT COMMODITIES/I MEAN BIDHAA ZA CHAKULA PENGINE WANAWEZA KUPONA KIDOGO, KWA MFANO NDUGU ZETU WA KENYA WENYE UTAMADUNI NA UZOWEFU WA SIKU NYINGI KUUZA FRESH FOODS ULAYA WANAWEZA KUPONA KIDOGO, KWANI CHAKULA NI MUHIMU WATU LAZIME WALE, NA MARA NYINGI FRESH FOODS FROM AFRICA NI CHEAP NA SOKO NI KUBWA KAMA MAHARAGE MABICHI, NYANYA, VEGETABLES, NDIZI, MATUNDA KAMA MACHUNGWA, APPLES, PEAS NA VITU KAMA HIVYO WANAWEZA KUPONA KIDOGO, COTTON FORGET ABOUT IT FOR THE TIME BEING UNTILI THEN TUNATAKIWA TUWE NA VIONGOZI WENYE VISION, WENGI TULIONAO NI WALE WA GENERATION YA UHURU YA NYERERE HII IKIISHA PENGINE CHANGES TUTAZIONA. MAMBO NI MAGUMU PAMOJA YA KUWA TANZANIA NA AFRICA HAIKO LINKED DIRECTLY KATIKA INTERNATIONAL FINANCIAL SYSTEM.
ReplyDeleteWote fungueni na msome:
ReplyDeleteWe Are All Socialists Now (http://www.newsweek.com/id/183663)
Enzi za kuzama kwa ubepari ndizo hizi...usoshalisti uaanza kutamba tena!
Usiku na mchana (pande za siku) zote safi tu!
We should expect more..Na pia wengi watatumia excuse ya world's recession kusitisha projects. Tatizo ni kujua issue ipi ni kweli au hapana. Niliwahi kumuuliza Brother Michuzi na wanablog kuhusu Utayali wetu na haya mambo yanayoendelea. lakini Bro naona aliifinya email yangu. I respect and understand ilionekana kama politics.
ReplyDeleteYakhe, huo ung'eng'e wako watakiwa saaana kunolewa! Hususan, matumizi ya alama ya ; yanaharibu ladha ya lugha hii. Pengine ingefaa sana ujifunze matumizi yake vizuri pamoja na ya alama ya , (mwisho.
ReplyDeleteBro Michuzi,kweli tunatakiwa tubadilike sasa Watanzania.Bado tutayaona mengi ya recession.Tusiwe kama watoto wadogo tusioelewa eti mpaka yatukute.Wa-TZ na tabia yetu ya u-Matonya ya kwenda kukinga bakuli kwenye nchi mbali mbali tuibadilishe maana matajiri wapo wanabana mikanda yao.Huu si utani maana sisi tulioko ughaibuni moto tunauona kwa karibu ,na joto bado Afrika halijaingia vizuri.Huku UK tumeelezwa kwamba mwaka huu utakuwa mgumu sana kiuchumi.Yeyote anayejipa moyo huko TZ naomba abadilike ndugu zangu.
ReplyDeletewatu bwana hivi clothing is not a necessity?
ReplyDelete"Unajua bwana,hii global economic slump haita 'tu - affect'sana sisi watanzania;kwanini,kwasababu miingiliano yetu kiuchumi siyo mikubwa sana!afterall ka-uchumi ka Tanzania kadogo sana - huyo ni Politician wa Tz,bila shaka kutoka CCM"." 'actually'tumeshachukua tahadhari siku nyingi sana,watu wanadhani tumezubaa,'no,not at all'pesa zetu zote za kigeni tumezihamishia katika 'safe - havens',watanzania wasiwe na wasiwasi,uchumi wetu kamwe hauwezi kuyumba eti kwa sababu ya 'credit crunch'ya Marekani na Uingereza!acha bwana,sisi watanzania 'we have always been so smart,when it comes to'kuchukua tahadhari mzee!usifikiri tunaitwa Ma Dakta 'for nothing,shwine kabisa wewe!Tutavuka tu huu msukosuko wa kiuchumi salama salimini.Kushuka kwa shilingi hilo haliwezekani,BOT mali yetu wenyewe,nani atashusha shilingi,jinga nini wewe!"-huyo ni Mshauri Mkuu wa Uchumi na Fedha wa Serikali.Ama kweli this is a Danganyika Republic,Tembo atauawa kwa Bua!
ReplyDelete