Mhe. Abdallah Omari Kigoda, Mbunge na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya C C M Taifa akimkabidhi Cheti Mwanafunzi wa kidato cha sita Ndugu Seleman Allycha kumaliza kidato cha Sita wa shule ya sekondari ya Jamhuri mjini dodoma katika
sherehe ya maafali ya kumaliza kidato cha sita ya shule hiyo iliyofanyika shulenihapo leo [ kulia ] ni mwalimu mkuu wa shule hiyo Ndugu Juma Kagoda
baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jamhuri kidato cha sita wakimsikiliza kwa makini Mbunge na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya c cm Taifa Mhe. Abdallah Omari Kigoda, [ hayupo kwenye picha hiyo ] wakati alipokuwaakizungumza nao baada ya kuwakabidhi vyeti vya kumaliza shule mjini dodoma leo. Picha na Mdau Jonas Marios

wow hii shule iko dodoma? ni bording au day? mashallaha.
ReplyDeleteYaani mpaka raha jinsi watoto wa kike walivyojihifadhi, mashallah!
ReplyDeleteMdau wa kwanza hii shule ipo Dodoma na ni miongoni mwa shule za zamani sana mjini Dodoma na nimiongini mwa shule za mwanzo kabisa mjini Dodoma. Ipo karibu kabisa na uwanja wa jamhuri dodoma, i guess ndipo ilipopata jina hilo jina lake.
ReplyDeleteThanks for the photo imenikumusha mbali sana.
Mdau wa Dodoma
Jamani nasikia kuna nchi moja huko bara la Asia or middle East kama sikosei eti wamekataza watu wote wenye jinsia ya kike(wanawake,wasichana,mabinti,mabibi) wasipewe ruhusa ya kwenda shule.Yaani shule ni marufuku kwa wanawake..hebu tutafutie ukweli then irushe hewani watu waijadili..makiromaro@yahoo.com
ReplyDelete