Mhe. Abdallah Omari Kigoda, Mbunge na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya C C M Taifa akimkabidhi Cheti Mwanafunzi wa kidato cha sita Ndugu Seleman Ally
cha kumaliza kidato cha Sita wa shule ya sekondari ya Jamhuri mjini dodoma katika
sherehe ya maafali ya kumaliza kidato cha sita ya shule hiyo iliyofanyika shulenihapo leo [ kulia ] ni mwalimu mkuu wa shule hiyo Ndugu Juma Kagoda
baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jamhuri kidato cha sita wakimsikiliza kwa makini Mbunge na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya c cm Taifa Mhe. Abdallah Omari Kigoda, [ hayupo kwenye picha hiyo ] wakati alipokuwaakizungumza nao baada ya kuwakabidhi vyeti vya kumaliza shule mjini dodoma leo. Picha na Mdau Jonas Marios



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. wow hii shule iko dodoma? ni bording au day? mashallaha.

    ReplyDelete
  2. Yaani mpaka raha jinsi watoto wa kike walivyojihifadhi, mashallah!

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kwanza hii shule ipo Dodoma na ni miongoni mwa shule za zamani sana mjini Dodoma na nimiongini mwa shule za mwanzo kabisa mjini Dodoma. Ipo karibu kabisa na uwanja wa jamhuri dodoma, i guess ndipo ilipopata jina hilo jina lake.
    Thanks for the photo imenikumusha mbali sana.
    Mdau wa Dodoma

    ReplyDelete
  4. Jamani nasikia kuna nchi moja huko bara la Asia or middle East kama sikosei eti wamekataza watu wote wenye jinsia ya kike(wanawake,wasichana,mabinti,mabibi) wasipewe ruhusa ya kwenda shule.Yaani shule ni marufuku kwa wanawake..hebu tutafutie ukweli then irushe hewani watu waijadili..makiromaro@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...