mdau edwin akiwa na mai waifu wake renatha baada ya kumeremeta mchana wa leo kanisa la morovian tawi la mashariki na zanzibar kule tabata na kisha kwenye mnuso wa nguvu pearl club ya ubungo plaza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Mungu awenanyi mshirikiane, mpate Amani katika nyumba yenu!
    Mmependeza sana wandoa!!!!
    Mungu awabiriki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Mdau canada.

    ReplyDelete
  2. Msimamo Premier league Uingereza
    Nafasi Pointi
    1.Liverpool 53
    2.ManU 54
    3.Aston villa 51
    4.Chelsea 49
    5.Arsenal 43
    6.Everton 40

    Matokeo mechi za leo:
    ManCity 1 Middlesbrough 0
    Liverpool 3 Portsmouth 2
    Chelsea 0 Hull 0
    Blackburn 0 Aston villa 2
    Everton 3 Bolton 0
    Sunderland 2 Stoke o
    West Brom Albion 2 Newcastle 3
    Wigan 0 Fulham 0

    ReplyDelete
  3. Renatha Dada,if not mistaken; class of 97 st Anthony's right? i remember you by Ms Kizenga plae Kijitonyama.....Sasa Mrs nani?

    Kaka yako Ruta.

    ReplyDelete
  4. mzee kidifu nimekubali.
    Eng msonge
    0713260169

    ReplyDelete
  5. hi renatha mpenzi.mungu aibariki ndoa yako na muishi kwa fauraha na mumeo.umependeza kweli shost lkn keep intouch basi tangu 2000shaban robert?nimekumiss kweliiii.
    tina ma7masakakulwa@yahoo.co.uk.KEEP IN TOUCHT MPZ!

    ReplyDelete
  6. hongera sana Da Renata na mume wako nimefurahi sana kukuona leo unacheka wish all the best jamani nime miss hiyo harusi. Mungu awe nanyi daima.

    mdau thailand

    ReplyDelete
  7. Kidifu nimekubali uko juu na wife ni mrembo kweli mmependeza Mungu awape furaha muendelee kusmile katika shida na raha mkijua kwamba furaha inatoka kwa Mungu na shida hukuza upendo na ni kipimo cha uvumilivu. All the best.

    Leyla kub...

    ReplyDelete
  8. Yeah mzuka...i don't count on sherehe,wat matters man is life...

    ReplyDelete
  9. Du lakini duniani watu wanafanana, huyu Edwin kamlanda kweli Chiribiti!!!

    ReplyDelete
  10. Hongera sana Bwana na Bibi Harusi.
    Mpendeza sana sana. Nawatakia kila la heri katika maisha yenu ya ndoa mpya.
    UDSM -2001 LLB.

    ReplyDelete
  11. Kila la kheri katika ndoa yenu Edwin na Renatha(Mwaa) tunawatakia maisha bora yenye upendo , amani na mafanikio.
    Mamitch

    ReplyDelete
  12. ehee safi kifu na renatha nimefurahi sana kuwaona pamoja

    yaani mmetoka mbali jamani toka ustawi

    hongereni sana

    its me. R. M

    HOUSTON TX

    ReplyDelete
  13. Awesome
    Kumbe wahenga na nyie 🤣🤣🤣

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...