Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Meja Jenerali mstaafu Saidi Kalembo akikata utepe kuonyesha inshara ya kuzindua duka la Vodacom(vodashop)Mkoani morogoro wikiendi hii
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Meja Jenerali mstaafu Saidi Kalembo(katikati)akisisitiza jamabo kwa Mkurugenzi wa mauzo wa Vodacom Tanzania Exaud Kiwali(kulia)wakati wa ufunguzi wa duka la vodacom mkoani morogoro,(kushoto)ni Naibu Meya wa manispaa ya morogoro.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ndiyo Bro, Naibu meya wa manispaa ya Moro!! Nakufagilia sana kwa uchapaji wako kazi katika kuwaletea maendeleo wananchi wa moro. Nakutakia kazi njema, wasalimie wote hapo nyumbani.

    Ni mimi mdogo wako wa France.

    ReplyDelete
  2. Kuna Mpemba anafungua duka lake mtaani kwetu atamualika Meya Kimbisa na Mkuu wa Mkoa Abbas Kandoro kwenye ufunguzi Jumatano ijayo. Picha mtaziona kwenye globu yetu ya jamii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...