duka la viatu babu kubwa vya watoto, kinamama na kinababa pamoja na vikorombwezo vingine kibao imetangaza seli ya vitu vyote vilivyomo dukani hapo katika sakafu ya chini ya jengo la benjamin mkapa towers (zamani mafuta house) mtaa wa azikiwe avenue usoni pa posta mpya.
mengi zaidi nenda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. credit crunch ime hit tanzania?

    ReplyDelete
  2. keep it up, hakuna njia ya mkato nikujitahidi kwa kwenda mbele!

    ReplyDelete
  3. keep it up, hakuna njia ya mkato nikujitahidi kwa kwenda mbele!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...