TETEMESHA ENTERTAINMENT

ikishirikiana na

DJ KAYCEE

WANAKULETEA OFA KABAMBE YA MWANZO WA MWAKA IKIWA NI PROMOTION YA UTAMBULISHO WA VYOMBO VIPYA NA VYA KISASA VYA MUZIKI, TETEMESHA ENTERTAINMENT KWA SASA WANATOA HUDUMA NA VYOMBO VYA MUZIKI BURE, KATIKA SHEREHE AU TUKIO LOLOTE LILE, KAMA HARUSI, BIRTHDAY,BABY SHOWER, NA PARTY YA AINA YOYOTE ILE.
HII NI MAALUMU KWA AJILI YA WAKAZI WA HOUSTON NA VITONGOJI VYAKE. VYOMBO NI VYA KUTOSHA KWA TUKIO LA UKUBWA WOWOTE ULE. JOPO LA MA DJ LIKIONGOZWA NA DJ KAYCEE NA MA DJ WENGINE WENYE UZOEFU WA HALI YA JUU LITAKUWA LIKIAMBATANA NA OFA HII KABAMBE.
HAKUNA UNDUGU, URAFIKI, WALA KUJUANA KATIKA OFA HII BALI ANAEOMBA MAPEMA NDIE ATAKAE PATA HUDUMA HII BURE BILA MALIPO YOYOTE. OFA HII ITAENDELEA MPAKA PALE AMBAPO ITATANGAZWA VINGINEVYO.
TETEMESHA ENTERTAINMET INAOMBA USHIRIKIANO WENU WAKAZI WA HOUSTON ILI KUFANIKISHA OFA HII. TUMA MAOMBI AT LEAST WIKI 2 KABLA YA TUKIO, MAPEMA ZAIDI YA HAPO NI BORA!
TUMA MAOMBI KUPITIA
AU PIGA SIMU
# 281 236 5204.
TUNARUDIA TENA,
HUDUMA HII NI BUUUUREEEEEE.
WOTE MNAKARIBISHWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera Kaka kwa roho mzuri,mungu akuzidishia na akujaalie kila utakalotaka kufanya lifanikiwe na akuwekee wepesi kwa kila penye ugumu Inshaalaah. Wanajumuiya HUSTON mnatufundisha mengi sana hasa sisi tunaoishi mbali na nyumbali kama nyinyi, kwani si rahisi mtu kujitolea na kufanya kila kitu free kama TETEMESHA kweli HOUSTON mnapendana huo ndio undugu na urafiki wa kweli mungu awalinde na muishi kwa upendo na amani AMIN.

    ReplyDelete
  2. sielewi-elewi,,,mh jamani

    ReplyDelete
  3. Huyu jamaa inaonekana kweli ana moyo mzuri. Houston kweli wana umoja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...