
JARIDA LA KWANZA LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA
NUMBER10
LIMEREJEA TENA!
KUTANA NA VIJANA MACHACHARI CLOUDS FM SPORTS XTRAWAKIKUPA HABARI ZILIZOFANYIWA UTAFITI WA KINA.
NDANI YA JARIDA HILI LA SOKA UTAPATA NAFASI YA KUFAHAMU KILICHOMKWAMISHA MRISHO NGASA KWENDA MAJUU.
KUMBUKA, NDANI YA NUMBER 10 SI MANENO TU, NAVIELELEZO PIA.
MDAU SHAFII DAUDA


shaffih naona tumerudi tena. pamoja kaka....
ReplyDeletetorres hapa (waukweli!)
Hongera Shafii, keep up the good work.
ReplyDeleteShaffi mnauza bei kubwa mno,fanyeni 1500,Pia kwenye website ya clouds tunaomba mtengeze kupost maoni ya spoti Tz na ULAYA
ReplyDelete