JARIDA LA KWANZA LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA

NUMBER10
LIMEREJEA TENA!

KUTANA NA VIJANA MACHACHARI CLOUDS FM SPORTS XTRAWAKIKUPA HABARI ZILIZOFANYIWA UTAFITI WA KINA.
NDANI YA JARIDA HILI LA SOKA UTAPATA NAFASI YA KUFAHAMU KILICHOMKWAMISHA MRISHO NGASA KWENDA MAJUU.

KUMBUKA, NDANI YA NUMBER 10 SI MANENO TU, NAVIELELEZO PIA.
MDAU SHAFII DAUDA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. shaffih naona tumerudi tena. pamoja kaka....

    torres hapa (waukweli!)

    ReplyDelete
  2. Hongera Shafii, keep up the good work.

    ReplyDelete
  3. Shaffi mnauza bei kubwa mno,fanyeni 1500,Pia kwenye website ya clouds tunaomba mtengeze kupost maoni ya spoti Tz na ULAYA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...