FEST AFRIKA WINTER JAM 2009

SAT 07.02.09 @KLUBI - TAMPERE

TIME: 20-04

PROUDLY PRESENTS

JAH KIMBUTE-REGGAE (Live band-Tanzania)

TABIA MWANJELWA-AFRO RUMBA (Live solo-Tanzania based in Germany)THE NGOMA AFRICA BAND & RAS MAKUNJA (Live band-Tanzania+Congo) Afro beat, ndombolo, Zouk and much more

TOOTHPASTE BAND-WORLD MUSICTHE MPONDA´S - DRUMMING & BODY MOVEMENTS DJ´S

Georgie MTV,

NESTAR,

JAHGUN-Bongo & ALTUNES

Tickets 10€ (advance at Klubi, Swamp Music & Epe´s)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. tampere wazushi 2 mzidi kuandaa party hewa, kila cku mnatudanganya mara matonya, mara rayc halafu wa2 2kiwa njiani kuja mnaanza ku22mia sms za kijinga eti wamezuiliwa Amsterdam kwani wao wamekuwa wauza unga.....

    Bro mponda sio kiivyo bwana hiyo mizinguo 2...........

    ReplyDelete
  2. Tabia Mwanjelwa ni msanii maarufu wakike Mtanzania ambae wanatampere wanabidi kujivunua kuanae usiku huo
    kwa wale tunaokumbuka vibao kama "Maisha ni safari ndefu" na Jeni tutaipata raha ile tena siku ya jumamosi
    tunawashukuru waandaaji wa usiku huu na tuko tayari kwa onyesho hii
    Mdau Helsinki

    ReplyDelete
  3. Mdau wa February 04, 2009 1:45 PM na wewe umezidi. Kila likitoka tangazo kuhusu shughuli Tampere wewe na Mponda tu! Kah, hebu nyamaza kwani umelazimishwa kwenda? Au kutoa maoni? Acha waendelee na shighuli zao kama waliwahi kukudanganya si uwaache tu!! Unachefua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...